Unajua au umewahi kusikia nini kwahusu kunguru?

Unajua au umewahi kusikia nini kwahusu kunguru?

Kunguru haliwi, kunguru anaiba vitu ktk meza za watu ,kunguru haogopi mwanamke, mwezao akifa wataitana kama ni mtu kamuua yupo pale ni fujo
 
Namba 3 ni sahihi kabisa!

Wameniwinda sana mida ya asubuhi wakati naenda shule mpaka nilikua nabadili njia😃😃😃
 
Wanabeba taka wanakuja kutupia mlangoni kwako, kunguru wajinga sana
 
Kuna mdau alipandisha uzi humu ananunua Picha ya kunguru akiwa anapanda kunguru mwingine km Jogoo na tetea, siku HIO nimekaa zangu Simu IPO mbali kunguru wawili wakawa wametua mbele yangu Ile siku NDIO nilishuhudia kunguru akipiga bao nilikula chabo free of charge nikasema ningekua na Simu ningepiga picha na video nije nipandishe humu Jamaa ashuhudie maana alikua anataka picha halisi ukiwa umeonavsio picha za Google na video za YouTube
 
Back
Top Bottom