Unajua dstv ina internet(chizicomputer)

Unajua dstv ina internet(chizicomputer)

edjizzo

Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
81
Reaction score
1
Watanzania wezangu napenda kuwa fahamisha katika nchi za wenzetu chombo kama dstv kilichopo tanzania kina fanya kazi ya ku provide internet na television lakini kwa hapa tumeshindwa kufahamu majalibio yalifanyika hapa dstv ilipo ingia lakini waliliondoa
www.chizicomputer.blogspot.com
edjizzo@yahoo.com
0712484995
 
ilikuja mwanzoni internet si dili kipindi icho
 
ila wametangaza watanza kwenye decoder mpya
 
Back
Top Bottom