- Unajua fika nimefunga naye pingu,, vipi uitamani mvua tena bila wingu//
- Maskani ukiunga ukiunga nakusapoti sana,, na sikikakati kiganja coz wee ni mwana//
- Nyanyuka kwanza uvae boksa,, siwezi kukudhuru japo mii ni baunsa//
- Umeipigia katerelo umemwagia ndani,, bila wewe nisingejua ndani nafuga nyani//
- Vaa na shati kaa kwa kutulia,, kuna vitu toka kwako nataka kuvisikia//
- je ulimpata kupitia swaga zako,, au shemeji shemeji ukaanzia hapo//
- Kama michezo ya kitandani mbona pia fundi,, wananita mbosso khan aka Kirungi//
- nikiwalala taabani wazungu kwa wingi,, ufundi ufundi wa saadani bila vishungi//
- Nipe siri japo ushanilalia mke na nisiri ya ndani,, Nikapunguze machungu hata kwa mademu wa mtaani//
- Mambo ya pakome udambwi udambwi flani,, au umempa ndumba yale mambo ya nyumbani//
- Wee mwanamke kaa kimya nisije nikakubutua,, leo utasepa kwenu na talaka itafatia//
- wee shetani kama nyoka anatembelea tumbo,, siwezi tena kupa ndizi yangu natupa utumbo//