Kazi gani za kimkakati.! Wanaacha kuboresha kilimo wanaenda kununua ndege, nani azipande wakati theluthi mbili ya watu wanaishi chini ya dola moja kwa siku. It's nonsense.Wewe unajuwa nini kuhusu uchumi? Choo cha nyumba yako chenyewe imeshindwa kujenga, unakunya kwa jirani, halafu unakuja kubeza kazi za kimkakati za taifa
Msuluhishi atapatikana. Hata hao wakati wanapita huko hawakupangilia kwamba Tanzania itawasuluhisha.Yote nakubaliana na wewe kasoro aya hii hapa;
"Kimsingi, haki haitolewi bure, hupiganiwa. Ndio maana Kenya wako vizuri zaidi kwa sababu walipambana, wakamwaga damu, sio tu wakati wa uhuru, bali pia kipindi cha katiba mpya."
Kumwaga damu kwa ajili ya wachache wanaogombea kutawala HAPANA. Wakenya waligombana na Kikwete na Mkapa ndiyo walihusika kuwapatanisha. Burundi, Rwanda, Uganda hawa wote wakipata shida wanasuluhishwa Tanzania. Sisi tutakwenda wapi? Kisa tu Mbowe awe Rais?
Tuanzishe mtafaruku kwa sababu tunajuwa kuwa msuluhishi atapatikana? Kisa Tundu Lissu na Mbowe waingie Ikulu?? Our country will not be ruled by dogsMsuluhishi atapatikana. Hata hao wakati wanapita huko hawakupangilia kwamba Tanzania itawasuluhisha.
Hata Wewe ni hizo hizo taipu za shenzy, kwa sababu time frame aliyo zungumzia jamaa ni ya kufanya hiyo kazi ya kujenga uchumi, Haifanani na ukaaji madarakani wa Mbowe!Ndiyo hizo dharau sasa ninazoziongelea. Unamuwekea timeframe Rais wa nchi?? Wewe nani?? Mbowe mwenyewe hajaachia Uwenyekiti wa CHADEMA kuanzia mwaka 2003, halafu anataka kumpangia Rais SSH??
Muache aendelee kunyea debe kwanza, na akitoka atakuwa kashika adabu. Shenzy Taipu
Surely, not everyone can be a cretin to back this autocratic regime let lunatics do it.Common sense is not common to common people like Imeloa
Kwani yeye mwenyewe Rais alitoa time frame?Hata Wewe ni hizo hizo taipu za shenzy, kwa sababu time frame aliyo zungumzia jamaa ni ya kufanya hiyo kazi ya kujenga uchumi, Haifanani na ukaaji madarakani wa Mbowe!
Hakika ana machungu na nchi mboweUzi wa kweli kabisa kumhusu mbowe long live legendary MBOWE