Unajua historia ya bendera ya taifa lako tangu 1885?

hebu fafanua tofauti iko wapi. kwa jinsi nilivyoona bendera mbili, naona kuwa zinafanana

Mkuu hapa hakuna ushabiki wa vyama,bali uhalisia wa mambo.Labda useme una tatizo la kutofautisha rangi!
 
tia pic.mana i TZ haieleweki usikute tushauzwa ati
 

The colours of the flag have been specified by the Planning and Privatisation department of the President’s Office of Tanzania.
SchemeBlackBlueGreenGold
British Standard 2660 of 19559-1030-0120-0100-002
Flag of Tanzania - Wikipedia, the free encyclopedia kalikumtima jackson mm sioni kosa kubwa la tofauti ya izo bendera na hiyo ya kufoji labda ni vipimo vya hiyo rangi ya Gold/Yellow imezidi kidogo lakini rangi ni njano
km kuna tatizo bora na sisi tulijue maana huenda ni bendera za barabarani na zile za kushika mikononi tofauti na zile zinazouzwa kiSerikali
 
Last edited by a moderator:
weka picha ya hiyo bendera iliyobadilika
 
Tatizo ni 'kupeana na tender ki undugu??". Ninachojua, bendera au logo yoyote ile ina "rangi" na "ukubwa" wa kutoka rangi moja hadi nyingine kwa kufuata ulaamu wa "code" Color Codes and "measurements- distance between". Inaonekana huyu aliye chapa hii makitu hana ujuzi huo au ndo mambo yetu yale!
 
Jamani,

Mtengeneza bendera hajakosea hata kidogo. Sheria ya bendera yetu inaitwa {National Flag and Coat of Arms Act, 1971}. Ukiitaka isome kwenye link hii.

Ukishamaliza kuisoma utaona kwamba tulijikita na mazoea tu ya kudhani tulivyozoea kuiona ndivyo kisheria, lakini ukweli ni kwamba hakuna vipimo vya urefu kwa rangi fulani maadamu tu bendera iwe diagonally imegawanywa nusu kwa nusu.
 
Tatizo wengi wetu tunasahau lengo la ujio wa Obama.
Rangi ya njano inaonyesha madini na maliasi zilizopo aridhini,
hivyo kukoleza njano ni kumdhihirishia kua Mali zipo atachuma tu.!!
 
Tatizo wengi wetu tunasahau lengo la ujio wa Obama.
Rangi ya njano inaonyesha madini na maliasi zilizopo aridhini,
hivyo kukoleza njano ni kumdhihirishia kua Mali zipo atachuma tu.!!

Nakushukuru!!!
 

Nakushukuru sana kwa darasa lako ila nadhani kuna mahala kuna kosa! kwa nini kusiwepo na vipimo? Nadhani wakati act hiyo inapitishwa msamiati wa 'kuchakachua' ulikuwa bado kuanzishwa!
 
Habarini wadau, nina kaswali kamoja tu hapa, hivi kwa nini bendera ya taifa hupandishwa kila siku saa kumi na mbili asubuhi na kushushwa saa kumi na mbili jioni?
 
Mbona bendera ya Jamhuri ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar siioni?
 
Baba kupandishwa kwa bendera asibui nikumkabidhi raisi nchi iliyohuru nakushusha nikumkabidhi cdf/najeshi nchi tayari kwa ulinzi kiaina sijui sana
 

Kati ya mwaka 2006 na 2007 niliweka historia nzima ya bendera yetu hapa. Naona kama vile imepotea kabisa kwa vile nilipojaribu kuitafuta sikuiona; inawezekana modereta Invisible akatusaidia kuipata thread ile tena. Ila katika historia hii iliyowekwa hapa kuna mapungufu kadhaa ya kihistoria yanayotakiwa kukumbukwa kwani kabla ya ile bendera ya Tanganyika tunayoijua wengi leo hii kulikuwa na bendera nyingine iliyotumika ambyo thread hii haijaizungumzia.
 
Last edited by a moderator:
Shida yangu naambiwa zipo rangi bluu,nyeusi,kijan,na manjano lakini nyeupe inayoshikilia kamba haupo kwanin ule utepe usingekuwa mweusi au wakijan?
 
Utepe ungependeza zaidi ungekuwa colourless
 
Maana yake ni kwamba sisi ni wategemezi juu ya ngozi nyeupee, ndio maana yake
 
Unajiona umewazaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…