Kungu Kayuki
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 351
- 205
Ufito mweupe kwenye kamba ya bendera ni kuonesha AMANI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma uzi uuelewe ndio nyie mnafeli mitihani kwa ajili ya haraka hata mie najua ni utambulisho.Huo ni utambulisho sio ubunifu
Wapinzani mnapinga hadi bendera?
Sio kila aliyomo humu ni wapinzani mawazo ya kitotoHuo ni utambulisho sio ubunifu
Wapinzani mnapinga hadi bendera?
Bendera hii imepatikana tangu 30 Juni 1964 kutokana na muungano wa Tanganyika naWadau naamini tuliowengi tumeikuta bendera ya Tanzania.Binafsi simfahamu aliyeibuni zile rangi na mpangilio wake ,iwapo kuna mtu anamfahamu naomba atujuzeView attachment 1259916