Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 3,359
- 4,528
Light emission displayLED mi light electronic device
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Light emission displayLED mi light electronic device
HhahahahahhahahaUmesahau na hii,
CHUKUA CHAKO MAPEMA
Naunga mkonyo hojaumechanganya na chai kibao humo
mfano "etc" sio "end of thinking capacity" bali ni kilatini "et cetera" kwa maana ya "and other similar things".
kwa kutumia LOGIC tunasema:
if A = false, then (A)AND(B) = false. Japo hatujachunguza truth value ya B, kwa lugha rahisi kama umeandika boko kwenye kirefu cha "etc" hakuna haja ya kuchunguza mengine uliyoyaandika ila ni wazi statement yako yote ni chai
watu huwa wanaforce kua mtu amekosea tu siko zote kukupongeza ni ngumuu[emoji57][emoji57]Najua kama kirefu chake ni et cetra. Kwani hakuna maneno ambayo hayana maana zaidi ya moja? Mfano WVGA ina maana zaidi ya moja ili nimechukua maana moja na ndivyo nilivyofanya kwenye Etc.
Wide Video Great Array
Wide Video Graphic Array.
....
So usikimbilie ku-Conclude mkuu.
Asante kwa Changamoto
Sports utility vehicleSUV??
Hii ndiyo imenistua kuwa kumbe 'unatulisha matango pori' !!!Etc - End of Thinking Capacity