Unajua kishindo cha Simba leo jioni? Pita hapa nikutonye

Unajua kishindo cha Simba leo jioni? Pita hapa nikutonye

Tetemeko La Leo Pale Unyamani Kwa Vyanzo Vyangu Vyauhakika Itakua Hatari Watu Utopolofour Hawataamini Pale Ambapo Mwamba, Mtemi Huyu Wapale Kinshasa, Anaitwa Jean Marc Makusu Mundeleee, Anakwenda Kutufungia Usajili Leo, Then Tukatane Aug 22 Simba Day
Sawa,sie yanga kwanza tunawaangalia,majibu yetu mtayasikia na mtayaona kwa macho
 
Makusu alitua Pale moroco kwa shilingi za kitanzania bilioni mmoja na million miamoja na nane, mshahara wake shilingi million themanini na laki Tano. Mkataba wake unaisha 2022. Kama Simba watamtaka wavunje uo mkataba na waboreshe msharawake. Mimi binafsi sioni ilo likitokea uwezo wa Simba ni wakugombea wachezaji na Yanga lakini sio Uko kwingine.
Yea,sure chief na kwa mimi kama mpenda soka na kwa hali halisi ya hizi tim mbili za Kariakoo nachelea kusema kwamba bado hawajawa na uwezo wa kuvunja mikataba ya wachezaji wa typ kam hawa akina Makusu,maaana mshahara tu wa huyu mwamba huko Morocco si mchezo 80m kwa hapa home ndo huwa inaonekana n bonge moja la negotiation kwenye usajili,may be ngojea tuone tusiandikie mate....!
 
Kwa nilizonazo mimi aliyesajiliwa ni Justin Shonga kutoka bech la Orlando pirates ya S. Kusini ngoja tusubiri.

MAGUFULI4LIFE.
 
Makusu alitua Pale moroco kwa shilingi za kitanzania bilioni mmoja na million miamoja na nane, mshahara wake shilingi million themanini na laki Tano. Mkataba wake unaisha 2022. Kama Simba watamtaka wavunje uo mkataba na waboreshe msharawake. Mimi binafsi sioni ilo likitokea uwezo wa Simba ni wakugombea wachezaji na Yanga lakini sio Uko kwingine.
Aliwaeleza simba wazi kuwa hawana wachezaji ambao anaweza kushirikiana nao kupata mafanikio katika ngazi ya bara na zaidi.
 
Kuna tetesi GSM inakamilisha mazungumzo na mchezaji bora wa Simba Cretus Chama ajiunge Jangwani.
Simba hatuna mchezaji anayeitwa Cretus Chama,

Tuna Clatous Chota Chama aka mwamba wa Lusaka.
 
Kuna tetesi GSM inakamilisha mazungumzo na mchezaji bora wa Simba Cretus Chama ajiunge Jangwani.
Itakuwa sio yule anaekusanya Mwenyekiti, katibu,mweka hazina na wajumbe labda unamaanisha chama cha siasa
 
Nakumbuka Huyu Makusu Alivyowatesa Kina Wawa Na Nyon Kule Drc, Leo Hii Anatambulishwa Msimbazi! Mpaka Sasa Kikosi Kitakachosajiliwa Pale Msimbazi 100% Ubingwa Mara 15 Mfululizo, Plus 22 Tuliochukua Itakua 35, Kwahio Kale Kajina Mnakotumia Kujifariji Utopolofour Eti Mabingwa Wa Kihistoria Kamepotea Rasimi Kuanzia Leo,
Ukichukia Ndo Furaha Yangu.
Kweli Rage hakukosea,ningeweza sema unavuta bangi lakini nikisema hivyo nitakuwa naidhalilisha bangi,yaan hata msimu ujao haujaanza wewe unawaza na kuhitimisha kwamba mmeishachukua mara 35.Kwa akili mbovu Kama hizo ambazo mashabiki wa Mikia wengi ndo mlivyo hakika Mikia Ni kundi la bundi yaani parliament,mnagawana mizoga sasa baada ya hapo kila bundi atakufa kivyake.Endeleeni.
 
Tshishimbiii yupo for ur info tu
Kwa muda aliocheza Shishimbi Yanga sijaona la maana alilolifanya,Bora hata Molinga na Yikpe.Yaani sijawahi kumkubali .Nambie goli lolote muhimu alilolifungia Yanga.Bora hata Kaseja alifanya kazi fulani Yanga ila siyo Shishimbi.
 
Back
Top Bottom