Nakubaliana na wewe Mkuu, kule migombani Kilimanjaro zipo gari mpaka za miaka ya 80 na ikiwashwa inaondoka smooth
😂😂😂😂😂 Tupa haraka sana, haifai hio mkuu!Hapo kwenye miaka 8 unataka kusema gari nyingi hapa nchini ni scraper ?, mbona gari nyingi ziko mtandaoni zinauzwa na zikiwa tayari zina zaidi ya miaka minane tangu kutengenezwa ?, nadhani Km ndio huweza kudetermine, kwa sababu gari yaweza kuwa na miaka kumi halafu kumbe muda mwingi ilikuwa inapaki, hiyo haiwezi kuwa sawa na ile inashinda barabarani siku 7 kwa wiki, mimi ninayo gari toleo la mwaka 93 na km zake hazijafika hata laki 2, kwa hiyo unashauri niitupe ?.
True story manMwisho wa gari au chombo chochote cha moto ni wewe kushindwa kulihudumia.
Mkuu, sikuelewi umesimamia wapi, wewe unaunga mkono kila kitu.True story man
!Magari haya huwa na muda wa kutumia , kama tulivyo binadamu ?
utafiti ulifanywa mara nyingi na kutoa siri kuwa makampuni mengi hujua mwisho gari lako, hutokana na ufahamu wa materio wanayo tumia km cast au forged kabisa ,material wanayo tumia kwenye crank shaft amabyo ndo mhimu pamoja matirio blocks nyingi ,ndo maan nlNisan nyingi hapo haziwezi hasa kwenye nchi za joto, kwa mfano hapa Tanzania arusha na iringa sehemu za barid nisan hufanya vizuri kutokana na materio.ya blocks zao,
tafiti kwa nchi zilizo endelea gari huish miaka 8 tu toka ilipotengezwa ,kwa huziita scraper hawawez kwenda na gari walizo nunua huku kutokana na sheria kwao kukataza magari mabovu yaan yamepita miaka 8.
inakadilia kufikia km 300,000 kwa petrol kuwa gari ndo mwisho lazima ufanye overhaul
na diesel kufikia km 470,000.
lakn hutegemea km ulitunza gari lako vizuri pmoja kutumia oil inayotakiwa.
ukiagiza gari nunua kutokana na mwaka na kilometa. na yenye KM na mwaka juu ndo bei rangi.
rangi hufata baada ya hayo kutimizwa.
japokuwa waagizaji wengi hurudisha nyuma kilometa ila kwa magari ya ksasa ukirudisha waweza kujua.
by Goeffrey Madafa
View attachment 1130227
Hahahahahah mi si CCM damu mkuu...jus kidding!Mkuu, sikuelewi umesimamia wapi, wewe unaunga mkono kila kitu.
Uko sawaHahahahahah mi si CCM damu mkuu...jus kidding!
Jamaa ameongea fact bana.
Ukishindwa kuhudumia gari ndio mwisho wake maana linakutegemea kwa kila kitu.
Ni sawa na wewe ulazwe Ocean Road kwa kupumulia mashine, utakaposhindwa kulipia bills ndio parapanda yako itakapoliia.
Hii itakuwa ya Mrombo tu
Hii itakuwa ya Mrombo tu
Mtandaoni kuna tafiti nyingi sana..nyingine za uongo..chanzo cha hii habari nadhani ni blog tu
Nadhani hii itakuwa VW Kombi, ni ya kwako nini Mkuu ?, hii akiiona afande Muslim anaweza kulia kabisa.
Nadhani hii itakuwa VW Kombi, ni ya kwako nini Mkuu ?, hii akiiona afande Muslim anaweza kulia kabisa.