Unajua kuwa gari lina mwisho wa kutumia?

Unajua kuwa gari lina mwisho wa kutumia?

Hapo kwenye miaka 8 unataka kusema gari nyingi hapa nchini ni scraper ?, mbona gari nyingi ziko mtandaoni zinauzwa na zikiwa tayari zina zaidi ya miaka minane tangu kutengenezwa ?, nadhani Km ndio huweza kudetermine, kwa sababu gari yaweza kuwa na miaka kumi halafu kumbe muda mwingi ilikuwa inapaki, hiyo haiwezi kuwa sawa na ile inashinda barabarani siku 7 kwa wiki, mimi ninayo gari toleo la mwaka 93 na km zake hazijafika hata laki 2, kwa hiyo unashauri niitupe ?.
😂😂😂😂😂 Tupa haraka sana, haifai hio mkuu!
 
Magari haya huwa na muda wa kutumia , kama tulivyo binadamu ?

utafiti ulifanywa mara nyingi na kutoa siri kuwa makampuni mengi hujua mwisho gari lako, hutokana na ufahamu wa materio wanayo tumia km cast au forged kabisa ,material wanayo tumia kwenye crank shaft amabyo ndo mhimu pamoja matirio blocks nyingi ,ndo maan nlNisan nyingi hapo haziwezi hasa kwenye nchi za joto, kwa mfano hapa Tanzania arusha na iringa sehemu za barid nisan hufanya vizuri kutokana na materio.ya blocks zao,

tafiti kwa nchi zilizo endelea gari huish miaka 8 tu toka ilipotengezwa ,kwa huziita scraper hawawez kwenda na gari walizo nunua huku kutokana na sheria kwao kukataza magari mabovu yaan yamepita miaka 8.

inakadilia kufikia km 300,000 kwa petrol kuwa gari ndo mwisho lazima ufanye overhaul
na diesel kufikia km 470,000.
lakn hutegemea km ulitunza gari lako vizuri pmoja kutumia oil inayotakiwa.

ukiagiza gari nunua kutokana na mwaka na kilometa. na yenye KM na mwaka juu ndo bei rangi.
rangi hufata baada ya hayo kutimizwa.
japokuwa waagizaji wengi hurudisha nyuma kilometa ila kwa magari ya ksasa ukirudisha waweza kujua.

by Goeffrey Madafa

View attachment 1130227
!
!
Umeandika Nini Hapa Mkuu? Mimi Binafsi Sijaelewa Kabisa
 
Mkuu, sikuelewi umesimamia wapi, wewe unaunga mkono kila kitu.
Hahahahahah mi si CCM damu mkuu...jus kidding!
Jamaa ameongea fact bana.

Ukishindwa kuhudumia gari ndio mwisho wake maana linakutegemea kwa kila kitu.

Ni sawa na wewe ulazwe Ocean Road kwa kupumulia mashine, utakaposhindwa kulipia bills ndio parapanda yako itakapoliia.
 
Kuna Toyota Staut za miaka 80 bado zipo njiani
 
Hahahahahah mi si CCM damu mkuu...jus kidding!
Jamaa ameongea fact bana.

Ukishindwa kuhudumia gari ndio mwisho wake maana linakutegemea kwa kila kitu.

Ni sawa na wewe ulazwe Ocean Road kwa kupumulia mashine, utakaposhindwa kulipia bills ndio parapanda yako itakapoliia.
Uko sawa
 
Mkuu cheki hii VW Golf Gti imetembea km 857,000+ engine yake ni ya petroli 1.8L jamaa anasema hajabadili turbo, wala engine ni maintenance tu nzuri ya gari amei
 

Attachments

  • Screenshot_20200108-000025_Gallery.jpg
    Screenshot_20200108-000025_Gallery.jpg
    128.7 KB · Views: 7
  • Screenshot_20200108-000029_Gallery.jpg
    Screenshot_20200108-000029_Gallery.jpg
    101.5 KB · Views: 7
  • Screenshot_20200108-000020_Gallery.jpg
    Screenshot_20200108-000020_Gallery.jpg
    57.5 KB · Views: 7
Kuna gari huku Ina miaka 123 inaitwa Santler bado inadunda


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom