illegal migrant
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 1,277
- 1,121
unaposomewa mashitaka yoyote ya jinai muheshimiwa atakwambia "huku ukijua kufanya hivyo ni kosa" ni kweli kutokujua sheria haikupi unafuu wa adhabu ila mwendesha mashitaka asiandae mashitaka yake kwa mazoea kisha aandike huku ukijua kufanya hivyo ni kosa naanza kuamini kuwa ni lazima kujua sheria....ili usikute unavunja sheria kwa kutokujua.......ova