Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha hivi alisema atakufa lini? Ajira zimekuwa za shida sana siku hizi.Ndiyo hao wanaokesha majukwaani wakitusisitiza tuwazike mchangani bila sanduku wakifa
Wa nini?Kijeshi, Admiral wa Navy ni cheo sawa na General wa Army. Muundo wetu sasa hivi unataka kuwepo na General mmoja tu kwenye TPDF ambaye ndiye CDF. Hiyo inakinzana sana na muundo wa jeshi zima, kwani vyeo vya Navy viko juu sana ya vyeo vya Army. Kwa mfano Captain wa Army ni sawa Lieutnant wa Navy, na Captain wa Navy ni sawa na Colonel wa Army, ndiyo maana Captain wa Navy ainaitwa Navy Captain, siyo Captain tu. Lt General wa Army ni sawa kabisa na Vice Admiral wa navy. Sasa hapo ndipo kuna tatizo; ingawa jeshi linaweza kuwa na Lt Generals kadhaa, lakini cheo hiki ni special kwa ajili ya COS; maluteni generals wengine ni wale waliopandishwa cheo wakati mmoja na COS aliyepo madarakani au kabla yake, na hali hii huwa inatokea mara chache sana kwani mara nyingi sana maluteni general hao waliokuwapo ama hustaafishwa au hupelekwa ubalozini haraka sana kabla ya COS mpya kuanza kazi. Sasa kwa mfumo huo jeshi letu la Navy linakuwa na ugumu sana wa kupata Admiral na Vice Adrmiral; kwa maana mkuu wa Navy la Navy Tanzania atakuwa ni Rear Admiral ambaye ana cheo sawa na Major Ganeral au Brigadier General, hawezi kuwa Vice Admiral au Admiral.
Wakipunguza vyeo watatawala kwa shida sana. Wanahitaji hivyo vyeo ili kuwapooza washiriki wao.Hapana nchi hii ni ndogo sana kuwa na utitiri wa vyeo.
Tulitakiwa tupunguze ukubwa wa serikali ili tujaribu ku re-allocate pesa kwenye shughuli za kimaendeleo, kuliko kuongeza budget ya mishahara na utawala kila siku.
Kuna vyeo havina kazi nchi hii, na havitusaidii, lakini tunaendelea kuviweka tu kwa ajili ya watu wasio kuwa na msaada kwa taifa.
😆🤣Hahaha hivi alisema atakufa lini? Ajira zimekuwa za shida sana siku hizi.
kha!Sisi wa kazi gani, usiwakumbushe wakateuwana. Tutapoteza pesa za bure kwenye mishahara, na marupurupu.
vyeo vingi sana kwa nchi yetu hii.
Umenena vema sana mkuu..Sisi wa kazi gani, usiwakumbushe wakateuwana. Tutapoteza pesa za bure kwenye mishahara, na marupurupu.
vyeo vingi sana kwa nchi yetu hii.
Jinsi tech. Inavyosonga,mambo ya drones na mengine mengi,naiona infantry ikiishilia mbaliHii inategemea na nchi..
Kwa nchi za Afrika Infantry ndio kila kitu..
Huwezi shinda vita katika nchi za Afrika bila kutegemea Infantry.. yaani utachakazwa sana na Vita vya Ardhini kama huna ujuzi wa Guerrilla War!!
Haiwezekani.Jinsi tech. Inavyosonga,mambo ya drones na mengine mengi,naiona infantry ikiishilia mbali
Umemaliza japo wataelewa wachache(mother of war).Hii inategemea na nchi..
Kwa nchi za Afrika Infantry ndio kila kitu..
Huwezi shinda vita katika nchi za Afrika bila kutegemea Infantry.. yaani utachakazwa sana na Vita vya Ardhini kama huna ujuzi wa Guerrilla War!!
Na mimi nitakuuliza swali kwasababu wewe ni moja ya watu ninaowafuatilia pia na imenishangaza sana kuona swali lako kimsingi na mimi nitakuuliza kitu kimoja tu CMI wa sasa alitokea kamandi gani?Umekurupuka sana na inawezekana hujawahi kusoma post zangu hapa zinazohusu vyeo vya kijeshi. Hebu angalau pitia hii hapa chini. Mimi ni mmoja wa vijana waliokuzwa kijeshi sana kati ya mwaka 1973 ahdi mwaka 1981, kwa hiyo ulewa wangu wa mambo ya kijeshi ni mkubwa sana kuliko unavyodhani.
Vyeo vya Maafisa Jeshi vilivyopo na ambavyo havitumiki katika Jeshi la taifa kwa sasa
Kuna watu wengi wasioelewa mtililiko wa vyeo vya maafisa wa jeshi hasa kwa vile Jeshi letu (na majeshi mengi yaliyorithi kutoka Uingereza) huruka baadhi ya vyeo na havitumiki kabisa katika jeshi letu. Nimeona niweke mtililiko kamili wa vyeo hivyo ili kuelewesha ni vyeo gani ambavyo havitumiki...www.jamiiforums.com
Sawa kabisa ni moja ya swali zuri mno kuwapata hao ma vice admiral, Admiral mpaka ma Admiral of the fleet ni kwendana na hayo uliyoainisha hapo ...... Respect mkuuhiyo navy ina nguvu kiasi gani?
hiyo navy ina frigate ngapi, Coventry ngapi, mine sweeper ngapi, destroyer ngapi, submarines ngapi, sea drones ngapi, Ina spy ship ngapi, Ina amphibious ngapi, Ina military tankers ngapi, kwa mwaka inafanya operation ngapi in high sea nk.
Kijana unajua Admiral wewe.Kijeshi, Admiral wa Navy ni cheo sawa na General wa Army. Muundo wetu sasa hivi unataka kuwepo na General mmoja tu kwenye TPDF ambaye ndiye CDF. Hiyo inakinzana sana na muundo wa jeshi zima, kwani vyeo vya Navy viko juu sana ya vyeo vya Army. Kwa mfano Captain wa Army ni sawa Lieutnant wa Navy, na Captain wa Navy ni sawa na Colonel wa Army, ndiyo maana Captain wa Navy ainaitwa Navy Captain, siyo Captain tu. Lt General wa Army ni sawa kabisa na Vice Admiral wa navy. Sasa hapo ndipo kuna tatizo; ingawa jeshi linaweza kuwa na Lt Generals kadhaa, lakini cheo hiki ni special kwa ajili ya COS; maluteni generals wengine ni wale waliopandishwa cheo wakati mmoja na COS aliyepo madarakani au kabla yake, na hali hii huwa inatokea mara chache sana kwani mara nyingi sana maluteni general hao waliokuwapo ama hustaafishwa au hupelekwa ubalozini haraka sana kabla ya COS mpya kuanza kazi. Sasa kwa mfumo huo jeshi letu la Navy linakuwa na ugumu sana wa kupata Admiral na Vice Adrmiral; kwa maana mkuu wa Navy la Navy Tanzania atakuwa ni Rear Admiral ambaye ana cheo sawa na Major Ganeral au Brigadier General, hawezi kuwa Vice Admiral au Admiral.