Unajua kuwa Tanzania Haina Admiral wa Navy?

Navy army ....kwa Tanzania ndio tunakua taratibu maana uwanha mpana sana wenye tech kubwa sana....muda utaongea nasi tunaenda taratibu....asante china kutufumbua uelewa kwenye navy kwa ujumla...na jeshi anga oia....plus urusi....
 
Wa nini?
 
Wakipunguza vyeo watatawala kwa shida sana. Wanahitaji hivyo vyeo ili kuwapooza washiriki wao.
 
hiyo navy ina nguvu kiasi gani?

hiyo navy ina frigate ngapi, Coventry ngapi, mine sweeper ngapi, destroyer ngapi, submarines ngapi, sea drones ngapi, Ina spy ship ngapi, Ina amphibious ngapi, Ina military tankers ngapi, kwa mwaka inafanya operation ngapi in high sea nk.
 
Hii inategemea na nchi..
Kwa nchi za Afrika Infantry ndio kila kitu..
Huwezi shinda vita katika nchi za Afrika bila kutegemea Infantry.. yaani utachakazwa sana na Vita vya Ardhini kama huna ujuzi wa Guerrilla War!!
Umemaliza japo wataelewa wachache(mother of war).
 
Na mimi nitakuuliza swali kwasababu wewe ni moja ya watu ninaowafuatilia pia na imenishangaza sana kuona swali lako kimsingi na mimi nitakuuliza kitu kimoja tu CMI wa sasa alitokea kamandi gani?

Pia Mzee Mboma CDF(Rtd) alitokea wapi? Kimsingi kwa nchi zetu mi nafikiri ni namna miundo ilivyo kwasababu Kenya wanao utaratibu ambao tofauti na sisi pia, Sasa majeshi kama UK au USA navy zao huwezi linginisha na sisi.
 
Sawa kabisa ni moja ya swali zuri mno kuwapata hao ma vice admiral, Admiral mpaka ma Admiral of the fleet ni kwendana na hayo uliyoainisha hapo ...... Respect mkuu
 
Kijana unajua Admiral wewe.
Flat top tu-Carrier ya kijeshi inayobeba nde hata zaidi ya 50, inaongozwa na Captain.
Sisi tuna viboti vidogo vidogo tu, ambavyo havina uwezo mkubwa.
Admiral ni cheo kikubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…