Unajua kuwa Tanzania Haina Admiral wa Navy?

Watu mkishatoka kuangalia ma movie yenu huko mnavurugwa kabisa.
 
Kuna cheo cha comodore,je huyo comodore sio mkubwa kuliko general?
 
Mbona inasemekana yeye mwenyewe ndio aliomba kustaafu
Mwakibolwa alikuwa anaonekana umri mkubwa sana wakati anastaafu kuwa CoS kuliko Mwamunyange alipokuwa anastaafu kuwa CDF.
Yaani Mwamunyange angeweza kuongezewa miaka mingine mitatu na bado awe very fit.
 
Davies Mwamnyange alikuwa CoS ndipo akawa General na CDF, hata Venance Mabeyo naye alianza kama CoS ndipo akawa General na CDF. General Mwakiborwa alifikia kuwa CoS wakati umri umeshaenda sana.
Mabeyo aliwahi kuwa CoS chini ya cod Gani?
 

View:
Kipindi cha mwisho cha Mwamnyange CoS alikuwa ni mwakibolwa je mabeyo alikuwa CoS kabla ya Mwakibolwa?
Maana kumbukumbu zangu nakumbuka pia hata mwakibolwa alikuwa ni snr kwa mabeyo
Kumbukumbu zako siyo sahihi. Mwakibolwa alirithi kwa Mabeyo baada ya Mabeyo kuwa CDF. Mwakibolwa hakuwa hi COS chini ya Mwamunyange. So unamsikia Mwamnyange mwenyewe kwenye video hiyo? Au na yeye humuamini?
 
Kumbukumbu zako siyo sahihi. Mwakibolwa alirithi kwa Mabeyo baada ya Mabeyo kuwa CDF. Mwakibolwa hakuwa hi COS chini ya Mwamunyange. So unamsikia Mwamnyange mwenyewe kwenye video hiyo? Au na yeye humuamini?
Sasa nimekuelewa kwahyo mtiririko ni Mabeyo,Mwakibolwa,yakoub,othman?

Swali la pili mkuu je ulikuwepo nchini wakati TR wakiasi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…