Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Sio kwamba starlink ifanyi kazi wala vifaa vya satellite kutokufanya kazi bali ni kutokana sasa wanywa damu wanataka kuonekana wasafi mbele ya kisingizio cha amani Tanzania.
Star link inafanya kazi na ndio maana wageni wanaofiwa sana kuja maana mwenye huduma anaweza kujua watu wake.
Kumbukeni star link Kenya unapata inauzwa ila shida kesho tutawekewa nguvu ya hivi vifaa kutopitishwa.