Unajua kwanini gharama za maisha zimepanda kwa kipindi hiki kifupi?
Labda nianzie hapa. Kwa kipindi cha karibu miaka sita cha mnyonge mnyongeni, wanyonge waliishi kama malaika wakati matajiri waishi kama mashetani. Hivyo chochote kile ambacho kingefanyika kumnyonya huyu mnyonge kisingeruhusiwa na huyu baba mzazi. Hiyo moja
Mbili: katika kipindi cha koro Tanzania 🇹🇿pekee ilikuwa katika mstari mzuri wa ukuaji wa uchumi, ndo maana tuliingia uchumi wa kati. Na pia athari za koro hazikuwa kubwa nchini kwetu na hakuna hata mia tuliyochukua ambapo wanyonge ndo tungetakiwa kulipa.
Sasa, si zamu ya matajiri kuishi kama malaika... tunza kukumbukumbu.
Ila kikubwa kabisa ni vigezo na masharti ili wote tuumie, Tanzania sio kisiwa (Sio kauli ya kubeza). Jirani akifiwa na wewe weka msiba.
ENDAPO TZ INGEKUWA KISIWA BASI TUSINGEPOKEA VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA.
Ukielewa mwelimishe na jirani yako.
#TulipeTOZO
Just Poor economic policy of CCM......Unajua kwanini gharama za maisha zimepanda kwa kipindi hiki kifupi?
Labda nianzie hapa. Kwa kipindi cha karibu miaka sita cha mnyonge mnyongeni, wanyonge waliishi kama malaika wakati matajiri waishi kama mashetani. Hivyo chochote kile ambacho kingefanyika kumnyonya huyu mnyonge kisingeruhusiwa na huyu baba mzazi. Hiyo moja
Mbili: katika kipindi cha koro Tanzania [emoji1241]pekee ilikuwa katika mstari mzuri wa ukuaji wa uchumi, ndo maana tuliingia uchumi wa kati. Na pia athari za koro hazikuwa kubwa nchini kwetu na hakuna hata mia tuliyochukua ambapo wanyonge ndo tungetakiwa kulipa.
Sasa, si zamu ya matajiri kuishi kama malaika, tunza kukumbukumbu.
Ila kikubwa kabisa ni vigezo na masharti ili wote tuumie, Tanzania sio kisiwa (Sio kauli ya kubeza). Jirani akifiwa na wewe weka msiba.
ENDAPO TZ INGEKUWA KISIWA BASI TUSINGEPOKEA VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA.
Ukielewa mwelimishe na jirani yako.
#TulipeTOZO
Hii ndo siri yenyewe au Kuna nyingine?Unajua kwanini gharama za maisha zimepanda kwa kipindi hiki kifupi?
Labda nianzie hapa. Kwa kipindi cha karibu miaka sita cha mnyonge mnyongeni, wanyonge waliishi kama malaika wakati matajiri waishi kama mashetani. Hivyo chochote kile ambacho kingefanyika kumnyonya huyu mnyonge kisingeruhusiwa na huyu baba mzazi. Hiyo moja
Mbili: katika kipindi cha koro Tanzania 🇹🇿pekee ilikuwa katika mstari mzuri wa ukuaji wa uchumi, ndo maana tuliingia uchumi wa kati. Na pia athari za koro hazikuwa kubwa nchini kwetu na hakuna hata mia tuliyochukua ambapo wanyonge ndo tungetakiwa kulipa.
Sasa, si zamu ya matajiri kuishi kama malaika, tunza kukumbukumbu.
Ila kikubwa kabisa ni vigezo na masharti ili wote tuumie, Tanzania sio kisiwa (Sio kauli ya kubeza). Jirani akifiwa na wewe weka msiba.
ENDAPO TZ INGEKUWA KISIWA BASI TUSINGEPOKEA VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA.
Ukielewa mwelimishe na jirani yako.
#TulipeTOZO
Ndio
Soma tena andiko utaelewa ninachomaanishaIfike mahali maskini tuache kujitetea hovyo tu kwani hizo tozo hao matajiri hawazilipi..? Tena usikute wao wanalipa zaidi maana unakuta wana nyumba zaidi ya moja miamala ya simu anafanya mingi na mikubwa,mafuta yakipanda still atatumia na unakuta anagari zaidi ya moja!..
Hii mind set ya kuwalaumu matajiri kila kitu ni fikra potofu sasa hapo wapi kapata ahueni au tunateseka sote!! Mkuu chakufanya tuinue economic status zetu tulipe hiyo mitozo tu hakuna namna zikizidi tuandameni..
Boss, huo sio uhalisia. Tunao matajiri TZ unasema, wenye mali zisizohesabika kwenye mfumo rasmi, pesa zisizokaa kwenye mifumo halali ya kifedha, hawa ndo matajiri unaosema wasilaumiwe?Ifike mahali maskini tuache kujitetea hovyo tu kwani hizo tozo hao matajiri hawazilipi..? Tena usikute wao wanalipa zaidi maana unakuta wana nyumba zaidi ya moja miamala ya simu anafanya mingi na mikubwa,mafuta yakipanda still atatumia na unakuta anagari zaidi ya moja!..
Hii mind set ya kuwalaumu matajiri kila kitu ni fikra potofu sasa hapo wapi kapata ahueni au tunateseka sote!! Mkuu chakufanya tuinue economic status zetu tulipe hiyo mitozo tu hakuna namna zikizidi tuandameni..
So wataka kusema hatuna matajiri halali..?Boss, huo sio uhalisia. Tunao matajiri TZ unasema, wenye mali zisizohesabika kwenye mfumo rasmi, pesa zisizokaa kwenye mifumo halali ya kifedha, hawa ndo matajiri unaosema wasilaumiwe?
Mtumishi asiye na kiwanda wala biashara yoyote aliyowekeza kwa zaidi ya milioni 100 ILA ana 3trilioni benki nje ya nchi?
Huyu ambaye ana access ya kupewa mradi na serikali wenye thamani ya bilioni 900 bila kuwa hata na senti tano ya mtaji kwakuwa tu atatoa bilioni 120 kwa vigogo kutoka kwenye pesa hiyo hiyo ya mradi?
Au matajiri wapi tulionao hapa TZ unaozungumzia?
Wapo na ndio walio-survive kwenye kipindi cha uhalali wa shughuli. Mmoja wapo ni Bakhresa, sijasikia akifunga shughuli yake hata moja ingawa alikwepa kodi na ilipobainika alipaswa.kulipa, utawala wa shughuli zake ulipunguza baadhi ya luxuries kwa watumishi kuendana na uhaljsia, na sasa wako busy kuhakikisha nafasi zote za kazi zinazoweza kushikwa na watanzania wanaajiri watanzania kwa maelekezo ya serikali iliyopita.So wataka kusema hatuna matajiri halali..?
Ajabu lingine hujajiuliza kama JPM angekua Leo tungekua wapi?!!.. unadhani ungeweza hata kulalama hapa!!..Hii ndio raha ya kukubali chama kimoja tunakua hakuna mawazo mbadala!!...Tulipe KodiUnajua kwanini gharama za maisha zimepanda kwa kipindi hiki kifupi?
Labda nianzie hapa. Kwa kipindi cha karibu miaka sita cha mnyonge mnyongeni, wanyonge waliishi kama malaika wakati matajiri waishi kama mashetani. Hivyo chochote kile ambacho kingefanyika kumnyonya huyu mnyonge kisingeruhusiwa na huyu baba mzazi. Hiyo moja
Mbili: katika kipindi cha koro Tanzania 🇹🇿pekee ilikuwa katika mstari mzuri wa ukuaji wa uchumi, ndo maana tuliingia uchumi wa kati. Na pia athari za koro hazikuwa kubwa nchini kwetu na hakuna hata mia tuliyochukua ambapo wanyonge ndo tungetakiwa kulipa.
Sasa, si zamu ya matajiri kuishi kama malaika, tunza kukumbukumbu.
Ila kikubwa kabisa ni vigezo na masharti ili wote tuumie, Tanzania sio kisiwa (Sio kauli ya kubeza). Jirani akifiwa na wewe weka msiba.
ENDAPO TZ INGEKUWA KISIWA BASI TUSINGEPOKEA VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA.
Ukielewa mwelimishe na jirani yako.
#TulipeTOZO
Kwani serikali inaendeshwa na chama gani?!!..Umekatwa kichwa Ndugu?!!..Lipa Kodi!!..Si vyema kujadili vyama... ila nchi yetu yote kwa umoja wetu. Hata hivo sio kila economic policy ni zao la CCM.