Wewe unashindwa kuandika kinachoeleweka , halafu unalaumi watu! Tatizo ni wewe!Soma tena andiko utaelewa ninachomaanisha
Wewe unashindwa kuandika kinachoeleweka , halafu unalaumi watu! Tatizo ni wewe!Soma tena andiko utaelewa ninachomaanisha
Hahahha tatzo sio mimi bali mwenye akili ya kung'amua nilichokisema. Actually hili andiko nasema tena sio mwa ajili ya watu wote bali watu maalum. Usitafute wa kumlaumuWewe unashindwa kuandika kinachoeleweka , halafu unalaumi watu! Tatizo ni wewe!
Ifike mahali maskini tuache kujitetea hovyo tu kwani hizo tozo hao matajiri hawazilipi..? Tena usikute wao wanalipa zaidi maana unakuta wana nyumba zaidi ya moja miamala ya simu anafanya mingi na mikubwa,mafuta yakipanda still atatumia na unakuta anagari zaidi ya moja!..
Hii mind set ya kuwalaumu matajiri kila kitu ni fikra potofu sasa hapo wapi kapata ahueni au tunateseka sote!! Mkuu chakufanya tuinue economic status zetu tulipe hiyo mitozo tu hakuna namna zikizidi tuandameni..
ChifuUnajua kwanini gharama za maisha zimepanda kwa kipindi hiki kifupi?
Labda nianzie hapa. Kwa kipindi cha karibu miaka sita cha mnyonge mnyongeni, wanyonge waliishi kama malaika wakati matajiri waishi kama mashetani. Hivyo chochote kile ambacho kingefanyika kumnyonya huyu mnyonge kisingeruhusiwa na huyu baba mzazi. Hiyo moja
Mbili: katika kipindi cha koro Tanzania 🇹🇿pekee ilikuwa katika mstari mzuri wa ukuaji wa uchumi, ndo maana tuliingia uchumi wa kati. Na pia athari za koro hazikuwa kubwa nchini kwetu na hakuna hata mia tuliyochukua ambapo wanyonge ndo tungetakiwa kulipa.
Sasa, si zamu ya matajiri kuishi kama malaika, tunza kukumbukumbu.
Ila kikubwa kabisa ni vigezo na masharti ili wote tuumie, Tanzania sio kisiwa (Sio kauli ya kubeza). Jirani akifiwa na wewe weka msiba.
ENDAPO TZ INGEKUWA KISIWA BASI TUSINGEPOKEA VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA.
Ukielewa mwelimishe na jirani yako.
#TulipeTOZO
Kiini cha tatzo hakijaanzia hapo... ila mzee alikuja angalau kutetea but he is no longer... small fish ety.Chifu
Unaeleweka uzuri, ondoa shaka.
Matajiri kuishi kama malaika limekuwa ni jambo la lazima.
Kwa kuwa alieenda hakuwa na "Walio nyuma" sasa hivi wamerudi hivyo kuna shida kubwa huko mbele.
Miaka 60 mfumo gani unaongoza maisha ya watuUngeacha uchama ungeelewa zaid ya hapo ulipoelewa.
Hao wasomi wenu wa uchumi ndo wameshaweka sasa matajiri wasilaumiwe nao wanalipa kwa uwezo wao.Bakhresa akilipa luku 1000/= ni sawa na bibi yako/yangu ambaye yuko kijijini Rukwa? Usijidanganye. Tatizo si kulipa zaidi (5000/= mathalani) kwa vile ana nyumba nyingi. Tatizo ni uwezo wa kulipa hawa wa chini. Sasa hivi bila ya kuwa na 3000/= hautaweza kununua umeme. Ndio, kuna watu wanauwezo wa kulipa hata ingekuwa milioni 1 kwa mwezi lakini sisi tunaongelea hawa masikini wengi.