Unajua kwanini gharama za maisha zimepanda? Siri ni hii

Ni lzm watz wawe masikini ili ccm isiondoke madarakani.Ni maagano
 
Wewe unashindwa kuandika kinachoeleweka , halafu unalaumi watu! Tatizo ni wewe!
Hahahha tatzo sio mimi bali mwenye akili ya kung'amua nilichokisema. Actually hili andiko nasema tena sio mwa ajili ya watu wote bali watu maalum. Usitafute wa kumlaumu
 
Bakhresa akilipa luku 1000/= ni sawa na bibi yako/yangu ambaye yuko kijijini Rukwa? Usijidanganye. Tatizo si kulipa zaidi (5000/= mathalani) kwa vile ana nyumba nyingi. Tatizo ni uwezo wa kulipa hawa wa chini. Sasa hivi bila ya kuwa na 3000/= hautaweza kununua umeme. Ndio, kuna watu wanauwezo wa kulipa hata ingekuwa milioni 1 kwa mwezi lakini sisi tunaongelea hawa masikini wengi.
 
Chifu

Unaeleweka uzuri, ondoa shaka.

Matajiri kuishi kama malaika limekuwa ni jambo la lazima.

Kwa kuwa alieenda hakuwa na "Walio nyuma" sasa hivi wamerudi hivyo kuna shida kubwa huko mbele.
 
Chifu

Unaeleweka uzuri, ondoa shaka.

Matajiri kuishi kama malaika limekuwa ni jambo la lazima.

Kwa kuwa alieenda hakuwa na "Walio nyuma" sasa hivi wamerudi hivyo kuna shida kubwa huko mbele.
Kiini cha tatzo hakijaanzia hapo... ila mzee alikuja angalau kutetea but he is no longer... small fish ety.

Tanzania sio kisiwa
 
Hao wasomi wenu wa uchumi ndo wameshaweka sasa matajiri wasilaumiwe nao wanalipa kwa uwezo wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…