Unajua kwanini Klabu ya Yanga inaitwa Gongowazi na Ndala? Usikose ukaambiwa

Unajua kwanini Klabu ya Yanga inaitwa Gongowazi na Ndala? Usikose ukaambiwa

Ubao utakaposomeka Simba 3-0 Yanga, Mashabiki wa Yanga watakimbia na kuacha mabenchi wazi!
IMG_20180929_190254_526.jpg
 
Umeniwahi Mtani kaone kuna uzi nimekuquote kama ulichokiandika hapa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kesho tunatibua sherehe yako ya ushindi, Ili urudi ulipoishia msimu uliopita[emoji3][emoji119]
 
Kesho tunatibua sherehe yako ya ushindi, Ili urudi ulipoishia msimu uliopita[emoji3][emoji119]
Hahahaaa. Nasubiri nione Mtani.

Ila msije tafutana tu na musionane. 😂😂
 
Hahahaaa. Nasubiri nione Mtani.

Ila msije tafutana tu na musionane. [emoji23][emoji23]
Hakuna siku ambayo nilikuonea huruma ile ulioenda Taifa mechi ya kimataifa ukafungwa. Nikikumbuka nitakuambia maana tulijulishana kabla

Aiseeee ulirudi umechoka sana kutokana kichapo

Na hali hiyo utaipata Kesho endapo utaenda..! SimbaNguvuMoja
 
Hakuna siku ambayo nilikuonea huruma ile ulioenda Taifa mechi ya kimataifa ukafungwa. Nikikumbuka nitakuambia maana tulijulisha kabla

Aiseeee ulirudi umechoka sana kutokana kichapo

Na hali hiyo utaipata Kesho endapo utaenda..! SimbaNguvuMoja
Hahahaaaa. Nyie ndio mlituanziaga gundu.

Ila kwa kesho maumivu yale siyatarajii kwa kweli zaidi ya furaha tena ile ya muda mrefu. 😂😂😂
 
Itakuwa majukumu mengi.

Pia najua kesho hawezi kosa kwenye uzi wa hiyo Mechi japokuwa anakujaga zile saa za magoli tu.

Da Shunie . [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Haa haa haa. Anapima kina cha maji kwanza halafu ndo anafanya uamuzi wa kuogelea
 
Mimi Yanga damu lakini si CCM
Dah...Kuna tofauti kubwa Sana...kati ya ushabiki na ufuasi...kwenye ushabiki mara nyingi hakuna sababu na huwa ni milele.....ila kwenye ufuasi utakuwa wa ajabu sana kama huna sababu....na utakuwa kioja kama ukijiapiza kuwa utakuwa mfuasi milele [emoji41]
 
Haa haa haa. Anapima kina cha maji kwanza halafu ndo anafanya uamuzi wa kuogelea
Hahahaaa. Hataki kukutwa na yale ya sembo na ile game na Mbao maana jf aliiona ndogo hii.

Ila Mtani ulikuwa mjanja. 😂😂😂😂ukamuachia mwenyewe apambane na uzi wake badala umsaidie kujitetea 😂😂😂😂
 
Ni...FlashBackSaturday..Kuelekea kwa pambano la DSM Derby siku ya Jumapili, Unajua kwanini Klabu ya Yanga wanaitwa Gongowazi na Ndala?

Majina haya kiasili yalianza kuvuma sana mwishoni mwa miaka ya Hamsini kwenye karne iliyopita sababu kuu moja.

Yanga SC hawakuwa wanacheza na jezi wala viatu, ni vibukta na pekupeku huku over 90% ya fans wao mwendo wa malapa.

Sasa yuko mhindi alikuwa na duka lake pale Independence Street (Samora Avenue) akiitwa Jeetu Kumar ambaye ndio mtu wa kwanza kuwanunulia Jezi, huku Klabu ya Sunderland (Simba) ikiwa na Jezi na Viatu.

Siku aliponunua akawaambia haifai timu kucheza 'Mgongo Wazi' bahati mbaya yule mhindi hakuweza kutamka vizuri, akasema Gongowazi.

Na neno Ndala ni kwa Washabiki wao ambao hadi leo kwa sehemu kubwa chini ni ile kitu ya kwendea msalani.View attachment 881520View attachment 881521View attachment 881522View attachment 881523
Mkuu, Yanga ilikuwa timu ya wananchi maskini wasio na uwezo kama ilivyokuwa kwa Watanganyika wengi wakati huo.

Kinyume chake, Sunderland ilikuwa ya Wahindi na Waarabu pamoja na wafanyakazi wao. Hiyo ndiyo historical background ya timu hizo. Haishangazi Sunderland kuwa ya kwanza kutumia viatu japo hilo halijazuia timu ya Wananchi kuwa mabingwa wa kihistoria nchi hii.
 
Back
Top Bottom