Umeniwahi Mtani kaone kuna uzi nimekuquote kama ulichokiandika hapa. ππππUbao utakaposomeka Simba 3-0 Yanga, Mashabiki wa Yanga watakimbia na kuacha mabenchi wazi!View attachment 881603
Hahahaaa. Nasubiri nione Mtani.Kesho tunatibua sherehe yako ya ushindi, Ili urudi ulipoishia msimu uliopita[emoji3][emoji119]
Hakuna siku ambayo nilikuonea huruma ile ulioenda Taifa mechi ya kimataifa ukafungwa. Nikikumbuka nitakuambia maana tulijulishana kablaHahahaaa. Nasubiri nione Mtani.
Ila msije tafutana tu na musionane. [emoji23][emoji23]
Hahahaaaa. Nyie ndio mlituanziaga gundu.Hakuna siku ambayo nilikuonea huruma ile ulioenda Taifa mechi ya kimataifa ukafungwa. Nikikumbuka nitakuambia maana tulijulisha kabla
Aiseeee ulirudi umechoka sana kutokana kichapo
Na hali hiyo utaipata Kesho endapo utaenda..! SimbaNguvuMoja
Dah...Kuna tofauti kubwa Sana...kati ya ushabiki na ufuasi...kwenye ushabiki mara nyingi hakuna sababu na huwa ni milele.....ila kwenye ufuasi utakuwa wa ajabu sana kama huna sababu....na utakuwa kioja kama ukijiapiza kuwa utakuwa mfuasi milele [emoji41]Mimi Yanga damu lakini si CCM
Hahahaaa. Hataki kukutwa na yale ya sembo na ile game na Mbao maana jf aliiona ndogo hii.Haa haa haa. Anapima kina cha maji kwanza halafu ndo anafanya uamuzi wa kuogelea
Mkuu, Yanga ilikuwa timu ya wananchi maskini wasio na uwezo kama ilivyokuwa kwa Watanganyika wengi wakati huo.Ni...FlashBackSaturday..Kuelekea kwa pambano la DSM Derby siku ya Jumapili, Unajua kwanini Klabu ya Yanga wanaitwa Gongowazi na Ndala?
Majina haya kiasili yalianza kuvuma sana mwishoni mwa miaka ya Hamsini kwenye karne iliyopita sababu kuu moja.
Yanga SC hawakuwa wanacheza na jezi wala viatu, ni vibukta na pekupeku huku over 90% ya fans wao mwendo wa malapa.
Sasa yuko mhindi alikuwa na duka lake pale Independence Street (Samora Avenue) akiitwa Jeetu Kumar ambaye ndio mtu wa kwanza kuwanunulia Jezi, huku Klabu ya Sunderland (Simba) ikiwa na Jezi na Viatu.
Siku aliponunua akawaambia haifai timu kucheza 'Mgongo Wazi' bahati mbaya yule mhindi hakuweza kutamka vizuri, akasema Gongowazi.
Na neno Ndala ni kwa Washabiki wao ambao hadi leo kwa sehemu kubwa chini ni ile kitu ya kwendea msalani.View attachment 881520View attachment 881521View attachment 881522View attachment 881523
MBUMBUMBU FCHiyo Sunderland kwa hapa nchini ni klabu gani kwa sasa? Karibu Mkuu
Tuko pamoja mkuu [emoji120] [emoji122]Mimi Yanga damu lakini si CCM