Bora unasema ukweli Mtani.Mechi ya Kesho Hii Siimpi Simba Ushindii Kama Itashinda Itakuwa Kheri Lakini Sioni Ushindi Labda Drop
Nipo Mtaniii Wangu Zakwako
Nipo Okay! Nahangaika na EPL Uku..Bora unasema ukweli Mtani.
Za kwangu Alhamdulillah. Sijui kwako?
Nimekuona unavyoilalamikia Man U. 😂😂😂😂Nipo Okay! Nahangaika na EPL Uku..
😂😂😂😂😂😂😂Nimekuona unavyoilalamikia Man U. 😂😂😂😂
Pole Mtani wa mie. 😂😂😂😂
Duuh! Uliweza kuhama?😂😂😂😂😂😂😂
Sa ivi nipo na Liverpool Baada Ya Kuumizwa na ManU
Ubarikiwe sanaMimi Yanga damu lakini si CCM
Sunderland ilianzishwa lini na Simba ilianzishwa lini?Mbona katika historia huandikwa Yanga ilianzishwa mwaka mnamo1935
Na Simba mwaka 1936 bila kujali kama hakuna klabu ya Simba kwa wakati huo ya watu weusi? Hii imekaaje?
Simba imekuwepo tangia 1973 full stop.Mbona katika historia huandikwa Yanga ilianzishwa mwaka mnamo1935
Na Simba mwaka 1936 bila kujali kama hakuna klabu ya Simba kwa wakati huo ya watu weusi? Hii imekaaje?