Under-cover
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 2,211
- 3,527
Ni suala la muda.Safi sana. Mdoho mdogo Samia mpk atang'atuka tu. Ngoja bunge livunjwe.
Yes✊️No reform no election
Nyumbu in actionSafi sana. Mdoho mdogo Samia mpk atang'atuka tu. Ngoja bunge livunjwe.
Siku ile angejichanganya atoke nje tu ilikuwa ndo imeisha hiyo😂😂😂Sasa naelewa kwa nini Samia alijipitisha peke yake na akagoma kutoka ukumbini wakati wa kupiga kura
ni kauli ya wengi huku mtandaoni ila sio live ikiwa live humpati mtuKweli mabadiliko ni kauli ya wengi