Unajua kwanini nchi zinazoongoza kwa watu wake kuwa na furaha pia huongoza kwa watu wake kujiua?

Unajua kwanini nchi zinazoongoza kwa watu wake kuwa na furaha pia huongoza kwa watu wake kujiua?

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,657
Reaction score
20,967
Inasemwa kuwa. Hizi nchi ambazo kiwango cha furaha kipo chini, huzuni ni kitu cha kawaida. Hata mtu akiwa na huzuni au msongo wa mawazo anaona karibu jirani zake wote wanahuzuni, hilo humfariji sana. Lakini zile nchi ambazo watu wengi wanafuraha ni tofauti. Watu wengi wanafuraha hivyo ikitokea umepatwa na huzuni au msongo wa mawazo unajikuta ni wewe tu.

Ukiangalia jirani zako wote wana shangwe, hilolinakuzidishia huzuni zaidi, unaona kama unamkosi na unaishia kujiua.
 
Back
Top Bottom