Unajua kwanini serikali zilizoko madarakani huwa hazikubali kuachia madaraka kiurahisi?

Kuboma

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2025
Posts
1,466
Reaction score
2,581
Serikali zilizoko madarakani huwa hazikubali kuachia madaraka kiurahisi, kwa sababu nyingi sana, mojawapo ni kulinda yale mabaya waliyoyafanya wakiwa madarakani kama kuteka watu, kujeruhi, kuua, ufisadi, kuficha mali nje ya nchi na mengineyo mengi.

Sasa wanajua chama kitakachoingia madarakani kitataka kujua wanachama wake walipotelea wapi, na hiyo inatosha wahusika kufikishwa kwenye vyombo vya sheria. Ndiyo maana watu wako tayari kwa lolote lile walifanye ili waendele kubaki madarakani
 
Selikari zilizoko madarakani huwa hazikubali kuachia madaraka kiulahisi, kwa sababu nyingi sana,
Mojawapo ni kulinda yale mabaya waliyoyafanya wakiwa madarakani,
Kama kuteka watu,kujeruhi,kuuwa,ufisadi,kuficha mali inje ya inchi,na mengineyo mengi
Sasa wanajua chama kitakachoingia madarakani kitataka kujua wanachama wake walipotelea wapi,na hiyo inatosha wahusika kufikishwa kwenye vyombo vya sheria
Ndiyo maana watu wako tayali kwa lolote lile walifanye ili waendele kubaki madarakani
100%
 
Maovu ndiyo yanawafanya kweli wagome kuachia madaraka kwa amani
 
Serikali zilizoko madarakani huwa hazikubali kuachia madaraka kiurahisi, kwa sababu nyingi sana, mojawapo ni kulinda yale mabaya waliyoyafanya wakiwa madarakani kama kuteka watu, kujeruhi, kuua, ufisadi, kuficha mali nje ya nchi na mengineyo mengi.

Sasa wanajua chama kitakachoingia madarakani kitataka kujua wanachama wake walipotelea wapi, na hiyo inatosha wahusika kufikishwa kwenye vyombo vya sheria. Ndiyo maana watu wako tayari kwa lolote lile walifanye ili waendele kubaki madarakani
Umewaza vyema sana
 
Ni kweli ila kuna kipindi baba wa uongo uwa anawakana na anakaa pembeni anawaangalia tu. Mfano Bukinabe leo Traole aliyaanika yote maovu ya rais aliepita Blaise Compaure, mobuto wa Congo
 
Serikali zilizoko madarakani huwa hazikubali kuachia madaraka kiurahisi, kwa sababu nyingi sana, mojawapo ni kulinda yale mabaya waliyoyafanya wakiwa madarakani kama kuteka watu, kujeruhi, kuua, ufisadi, kuficha mali nje ya nchi na mengineyo mengi.

Sasa wanajua chama kitakachoingia madarakani kitataka kujua wanachama wake walipotelea wapi, na hiyo inatosha wahusika kufikishwa kwenye vyombo vya sheria. Ndiyo maana watu wako tayari kwa lolote lile walifanye ili waendele kubaki madarakani
NOREFORMSNOELECTION.✍️
 
Hakuna namna zaidi ya machafuko kutokea, rejea kauli zao wanaongelea amani kuliko upatikanaji wa haki
hao wanajua namna aman watakavyoipoteza na kutawala kwa mabavu
dictekta hawezi kubadilika kuwa malaika ndio kwanza watatumia ila, ukatili, mauaji yanayotekelezwa na wafuasi watiifu ili kubaki madarakani
 
Back
Top Bottom