Unajua Kwanini Wachagga Hawali Muhogo?

OK
OK
 
mwenye takweimu sahihi juu ya population za kichaga maana siamini kama ni kabila kubwa (3) ilhali mkoa wao ni mdogo zaidi nchini
 
Niwape historia kwanini wachaga hawali mhogo japo ni historia ya kale.
Zamani wachaga walipigana vita na wapare.Bahati nzuri vita ilivoisha wapare wakawapa mihogo wale.
Wapare wao walikuwa walikuwa wanajua kutofautisha mihogo ya sumu na isiyo sumu.
Wachaga walikufa sana toka wakati huo ikajengeka kizazi hadi kizazi kuwa mihogo ina sumu.
Ila vizazi vya sasa vya wachaga wanakula mihogo Ila wakiwa nje ya Kilimanjaro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…