Unajua Kwanini Wachagga Hawali Muhogo?

Unajua Kwanini Wachagga Hawali Muhogo?

Mburaaa! Jamaa kaelezea ila mihogo kasahau tunalima then tunalishia mbuzi katoliki
 
Sasa nimeelewa vizuri hili kabira langu aisee kumbe ndio maana safi sana
 
Aseeee....
Issue ya muhogo kwenye volcanic soil ni swala la kitaalamu. Sio porojo.

Ukikosea ukala muhogo wet season ujue imekula kwako....ni hatari zaidi kwa watoto kwasababu ya concetration levels.
 
maudhui ya makala haya yana kimelea cha udini kiasi maana naona neno nguruwe limetajwa mara nyingii halafu sina uhakika kama Wachagga wamepata kugombana na watu wa Pwani kwa ajili ya ufugaji wa nguruwe! Japo kweli wanafuga nguruwe sidhani kama wanazidi ufugaji wa mbuzi, kondoo na Ng'ombe na pia sidhani kama wanaizidi mikoa ya Mbeya na Rukwa kwa ufugaji wa nguruwe! Ni hayo tu ndo nimeona na inaniwia vigumu kusema kuwa makala haya ni kwa ajili ya mhogo tu!
 
Siku ukizungumzia Wajaluo usisahau kusema kuwa ndio Waafrika wa kwanza kuingia Ikulu ya Marekani, sawa?
 
huyo aliyeandika hii kitu akajipange tena. Kama imetoka gazetini basi kajishushia sana hadhi, hata huyo mhariri wake
 
Endapo utafika mahali waishipo BINADAMU Ukamkosa hapo MCHAGGA:Kimbia ufe hao siyo BinAdam
 
Katika majina hayo ya ukoo umesahau jina moja la ukoo wa - Mb*****roo

Hahahaa! umenichekesha Mkuu. Nakumbuka darasani tulikuwa na jamaa mmoja mwenye hilo jina halafu tukifundishwa na mwalimu mmoja wa kike alitufundisha somo la Kiswahili, ilikuwa kazi kuita jina lake.
 
Katika majina hayo ya ukoo umesahau jina moja la ukoo wa - Mb*****roo

Mboro** they also known as Maleko!! from marangu and few of them from machame...pale shinyanga kuna hotel kubwa inaitwa Maleko's. ni ya mchaga
 
Kufikia April mwaka huu kilimanjaro ilikuwa na shule 320, dah unatumia calendar ya wapi nihamie huko?
duu umeionna eee! infact ni karesearch flani ka tutaka kujua wachaga ni wangapi ndani ya jamii maana the whole page point ni hawali muhogo kisa sumu?!!!!!!!!!!!
 
nikiwa mdogo mama alisafiri kuja dar akapikiwa kisamvu kwa nazi kaona kitamu ajabu. kurudi nyumbani akatupikia kisamvu cha kule. nilikula kwa shida kidogo asubuhi nilipoamka nilikoma ubishi kwani niliharisha ile mbaya karibu nife. kutoka siku hiyo nliiogopa kisamvu na nduguye muhogo. japo nala muhogo nikila kisamvu naanza kuhofia kilichonitokea zamani. wachaga kuleni mhogo msiwe na hofu. wachacga kutokula muhogo ni hofu tu
 
Back
Top Bottom