Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukioa utaelewa kiurahisi sana kwa sasa zingatia masomo tuachie tulioolewa
Ukioa utaelewa kiurahisi sana kwa sasa zingatia masomo tuachie tulioa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ndo utanielewesha kwa pesa??...kwani kumuelewesha mtu ni kosa?Ukioa utaelewa kiurahisi sana kwa sasa zingatia masomo tuachie tulioolewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahahaa usipanik dada anamaanisha subir utaelewa hayo ni maswala ya wakubwa we mrudishie dada sm yake kwa sasaSasa ndo utanielewesha kwa pesa??...kwani kumuelewesha mtu ni kosa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mtu kutoelewa jambo ndo inamaanisha ni mtoto au mjinga?Hahahahahahahaa usipanik dada anamaanisha subir utaelewa hayo ni maswala ya wakubwa we mrudishie dada sm yake kwa sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mume katoka na rafiki wa mkewe sasa mke wake akamtumia message kuwa atachelewa kurudi yupo kwenye kitchen party na huyo mwanamke waliye naye kona
Atakuwaje na rafiki yake wakati huyo rafiki yake ndo huyo hapo yuko kona??....mleta uzi akapimwe jashoMume katoka na rafiki wa mkewe sasa mke wake akamtumia message kuwa atachelewa kurudi yupo kwenye kitchen party na huyo mwanamke waliye naye kona
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio ngoma droo, mtu na mkewe wote wamechepuka[emoji38] [emoji38] [emoji85] [emoji23]Atakuwaje na rafiki yake wakati huyo rafiki yake ndo huyo hapo yuko kona??....mleta uzi akapimwe jasho
Sent using Jamii Forums mobile app
We ndo unatakiwa ukapimwe [emoji3][emoji3] inamaanisha mke anadanganya kuwa yuko kwa rafikiwe kumbe ni uongo [emoji48]we si ulisema hujaelewa kweli hujaelewa!!Atakuwaje na rafiki yake wakati huyo rafiki yake ndo huyo hapo yuko kona??....mleta uzi akapimwe jasho
Sent using Jamii Forums mobile app
una moyo sana mkuu, ina maana alikuwa hajaelewa kweli au ni kwa sababu tuko hukuMume katoka na rafiki wa mkewe sasa mke wake akamtumia message kuwa atachelewa kurudi yupo kwenye kitchen party na huyo mwanamke waliye naye kona
Sent using Jamii Forums mobile app