Unajua maana ya stress? hebu cheki

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Stress ni nini?

Stress ni pale unapotia mimba mwanafunzi,
Ubishi ni nini? Ni pale unapokataa kuwa mimba sio yako, Doctor anaamua kukufanyia vipimo.

Bahati ni nini?
Bahati ni pale doctor anapokwambia ujauzito sio wako sababu "HUNA UWEZO WA KUMPA UJAUZITO MWANAMKE"

KIFO ni nini ??
Kifo ni pale unapokumbuka home una mke na watoto watatu...!

Wanaume wengi tumebambikiziwa watoto tuamke.

Dr pancho
 
Napata tabu sana ninapoona vijana wana fanya maisha ugumu kwenye maisha rahisi...πŸ˜‚
Cheers..πŸ₯ƒ
Bado wengine tuna meno
Why tuvunjiwe mifupa ingali meno bado yapo baba mzazi?
 
Leo mwanangu amefunga shule, sasa nikaona sim yake ina jf application...πŸ˜‚πŸ˜‚
Sasa.... nina mashaka isije ikawa..🀣🀣🀣
Ya ngapi hiyo baba mzazi hapo waswanu?
Hahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…