Unajua maana ya stress? hebu cheki

Unajua maana ya stress? hebu cheki

Leo nipo na mamaako hapa malaika annex, huu mshangazi unamiliki difu ya kupandisha mlima sekenke....🤣🤣
Cheers..🥃
Baba na vipi kuhusu yule mshangazi wa kizota?
Anakuulizia? Haha
 
Huyu anae anaongea nini??? Si akae kimya tu. Lione kwanza kichwa kama mkate na nywele zipo nusu kama lipumba, tena gube gube lililomshindwa mtume na maswahaba zake... Mxiiuuu

Hatari mkuu. Tena mashangazi ndio wenye mdomo balaa.
Hahahah na ukute hata hizo nywele nusu huna
Ni vile tu huna pesa..
Hata soda huruhusiwi chagua unapewa tu mirinda yaani

Nomaaa hahah
 
Stress ni nini?

Stress ni pale unapotia mimba mwanafunzi,
Ubishi ni nini? Ni pale unapokataa kuwa mimba sio yako, Doctor anaamua kukufanyia vipimo.

Bahati ni nini?
Bahati ni pale doctor anapokwambia ujauzito sio wako sababu "HUNA UWEZO WA KUMPA UJAUZITO MWANAMKE"

KIFO ni nini ??
Kifo ni pale unapokumbuka home una mke na watoto watatu...!

Wanaume wengi tumebambikiziwa watoto tuamke.

Dr pancho
hapa ndo pale unakumbuka Shuka wakati kumekuchaa
 
Back
Top Bottom