Unajua ni vigumu kiasi gani kwa Rais Samia Suluhu Hassan kufikia malengo yake

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
1,761
Reaction score
2,391
Rais Samia Anaweza kuwa Rais Bora kabisa kutokea nchini Tanzania. Ila kinachotokea Sasa ni kama kila mtu anataka kuandika anachokiamini kwenye kitabu chake.

Sasa kuna mnyukano mkubwa, CCM na wapinzani kila moja akitaka aende kwenye uelekeo wa kisiasa unaupa nafuu upande wake. Hata kesho wakiongea nae hakuna mpinzani atakayemshauri SSH juu ya korosho ya Mtwara au Pamba ya Wasukuma.

Hakuna anayeshauri Mambo ya kitaifa yasihusu maslahi binafsi. Wanaccm wakipigania mitazamo ya Mtangulizi wake inayowapa uhakika wa kuwa sehemu ya utawala huku wapinzani wakipigania kwanza makwazo binafsi.

Je, unajua ni vigumu kiasi gani kutoka hapo. Na ni vigumu kiasi gani kuzifuata ndoto zake. Haya ni mambo atayopitia kufikia ndoto zake kwenye nyanja zifuatazo.

1. Demokrasia ya kweli. Duniani Kunanchi na na watu ambao NI Ant democracy. Watu hao ambao mzizi wake NI ujamaa hujalibu kuvifanya Dunia nzima kufanya mitazamo yao kwa ku-invest chini kwa chini kuua democracy na utawala wa Sheria na NI hatari kuwa kinyume chake. Fikiria kama Urusi iliweza kuingilia uchaguzi Marekani na kufanikisha kuingia kwa Trump vipi kwa Taifa changa Kama letu. Hii sio Tanzania tu hata nchi za Magharibi husumbukia sana kufikia democracy ya kweli.

Hata Hayati Magufuli mwanzo alitaka kupigania demokrasia ya kweli. Nakumbuka kwenye uchaguzi wa Meya wa Dar figisu za CCM zilipoanza alisema wazi kabisa na nyinyi CCM wakati mwingine mkubali kushindwa Ila kilichofanya abadili mitazamo baadae NI Nani na kwanini hakuna anayejua.

Pili wabunge na utawala wote alionao unatokana na Legenc na Mipango ya kiongozi aliyepita. Hakuna atakaekubali kuona anafanya kitu kitakachohatarisha ubunge au nyadhifa zao.

2. Uchumi. Kutoa fedha mtaani na zote kuzijengea miundombinu lilikuwa kunaua uchumi polepole. Kuurudisha uchumi kwa watu sio Jambo Rais. Nakumbuka nyerere alijenga Viwanda kwa kutumia pesa nyingi. Ali hiyo ilifanya watu mtaani kukosa fedha baadae wakakosa fedha ya kununua bidhaa. Wakarudi kwenye biashara za kubadilishana bidhaa Yani Ng'ombe kwa gunia la mahindi au chunvi ya Mawe. Viwanda vya bia na konyagi vilikosa wateja watu wakaanza kunywa gongo na komoni. Kiwanda Cha viatu Cha Bora kikafa watu walikata taili kuunda viatu. Baada ya watu kukosa pesa kinachofata NI serikali kukosa Kodi.

Uchumi JPM alikuwa anakaria kugota pagumu, mikopo ilikuwa inafikia ukingoni, Wa kuchukuliwa kwenye ac walikuwa wanaenda ukingoni. Matajili waliotengenezwa na Mkapa walikuwa wanashuka siku Hadi siku.

Hapa ili kuurudisha uchumi lazma atafute nguvu mpya ya wahisani. Aanze safari nje. Ata nyerere kwenye njaa alienda kuomba msaada Marekani. Lazma asimame atoke arejeshe wawekezaji. JK alimleta Dangote.

Je, ataweza kwenda nje, au CCM watampa wakati mgumu.

Ila naamini tutavuka.
 
Ndugu Mshumbusi,, hao wanaopinga demokrasia hawana maana yoyote zaidi ya ubinafsi uliowajaa mioyoni mwao.
Wanapinga ili waendelee kula bata na familia zao wakiwa na uhakika hakuna kuwawajibisha.
Wanapinga kwani wanaogopa kuwajibishwa ikiwa mfumo wa demokrasia utaimarika.
Ni waovu sana, wanajua nje ya madaraka wana kesi nyingi za kujibu.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Raisi Samia Anaweza kuwa Raisi Bora kabisa kutokea nchini Tanzania. Ila kinachotokea Sasa NI Kama kila mtu anataka kuandika anachokiamini kwenye kitabu chake.

Sasa Kuna mnyukano mkubwa, CCM na wapinzani kila moja akitaka aende kwenye uelekeo wa kisiasa unaupa nafuu upande wake. Ata kesho wakiongea nae hakuna mpizani atakaemshauri ssh juu ya korosho ya Mtwala au Pamba ya wasukuma.

Hakuna anayeshauri Mambo ya kitaifa yasihusu maslahi binafsi. Wanaccm wakipigania mitazamo ya Mtangulizi wake inayowapa uhakika wa kuwa sehemu ya utawala huku wapinzani wakipigania kwanza makwazo binafsi.

Je unajua NI vigumu kiasi gani kutoka hapo. Na nivigumu kiasi gani kuzifata ndoto zake. Haya NI Mambo atayopitia kufikia ndoto zake kwenye nyanja zifuatazo.

1. Democrasia ya kweli. Duniani Kunanchi na na watu ambao NI Ant democracy. Watu hao ambao mzizi wake NI ujamaa hujalibu kuvifanya Dunia nzima kufanya mitazamo yao kwa kuinvest chini kwa chini kuua democracy na utawala wa Sheria na NI hatari kuwa kinyume chake. Fikilia Kama Russia iliweza kuingilia uchaguzi Marekani na kufanikisha kuingia kwa Trump vip kwa taifa changa Kama letu. Hii sio Tanzania tu ata nchi za Magharibi husumbukia Sana kufikia democracy ya kweli.

Ata Magufuli mwanzo alitaka kupigania democrasia ya kweli. Nakumbuka kwenye uchaguzi wa Meya wa Dar figisu za CCM zilipoanza alisema wazi kabisa na nyinyi CCM wakati mwingine mkubali kushindwa Ila kilichofanya abadili mitazamo baadae NI Nani na kwanini hakuna anayejua.

Pili wabunge na utawala wote alionao unatokana na Legenc na Mipango ya kiongozi aliyepita. Hakuna atakaekubali kuona anafanya kitu kitakachohatarisha ubunge au nyadhifa zao.

2. Uchumi. Kutoa fedha mtaani na zote kuzijengea miundombinu lilikuwa kunaua uchumi polepole. Kuurudisha uchumi kwa watu sio Jambo Raisi. Nakumbuka nyerere alijenga Viwanda kwa kutumia pesa nyingi. Ali hiyo ilifanya watu mtaani kukosa fedha baadae wakakosa fedha ya kununua bidhaa. Wakarudi kwenye biashara za kubadilishana bidhaa Yani Ng'ombe kwa gunia la mahindi au chunvi ya Mawe. Viwanda vya bia na konyagi vilikosa wateja watu wakaanza kunywa gongo na komoni. Kiwanda Cha viatu Cha Bora kikafa watu walikata taili kuunda viatu. Baada ya watu kukosa pesa kinachofata NI serikali kukosa Kodi.

Uchumi Jpm alikuwa anakaria kugota pagumu, mikopo ilikuwa inafikia ukingoni, Wa kuchukuliwa kwenye ac walikuwa wanaenda ukingoni. Matajili waliotengenezwa na Mkapa walikuwa wanashuka siku Hadi siku.

Hapa ili kuurudisha uchumi lazma atafute nguvu mpya ya wahisani. Aanze safari nje. Ata nyerere kwenye njaa alienda kuomba msaada Marekani. Lazma asimame atoke arejeshe wawekezaji. Jk alimleta dangote.
Je ataweza kwenda nje, au CCM watampa wakati mgumu.
Ila naamini tutavuka.
Samia Hasaan akikaa kwa kutulia akawasikiliza wanasiasa wengine atafika mbali sana. Wapinzani hawana cha kumzuia asifikie malengo. Ila akiwasikiliza atapaa
 
Ndugu Mshumbusi,, hao wanaopinga demokrasia hawana maana yoyote zaidi ya ubinafsi uliowajaa mioyoni mwao.
Wanapinga ili waendelee kula bata na familia zao wakiwa na uhakika hakuna kuwawajibisha.
Wanapinga kwani wanaogopa kuwajibishwa ikiwa mfumo wa demokrasia utaimarika.
Ni waovu sana, wanajua nje ya madaraka wana kesi nyingi za kujibu.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Pointi. Ni kakikdundi ka watu fulani hivi hutaka kujimilikisha nchi.
 
Hata... siyo Ata

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Nikikukumbuka awamu ya pili. Ni wazi ninaona tunakoelekea. Kule Geita mauaji yameanza upya, kule usa River Arusha polisi wameanza yao , ofisi za serikali watumishi wameanza yao.
 
Sasa hapo unatakabkusemaje labda kwani huyo msukuma wenu alipo kuwepo si watu walipigwa risasi mchana kweupeeee
 
Kinachowatesa ni muda wote kuhidhania hamuwezi hadi msaidiwe. Hebu kama unaweza tupe kidogo hesabu za pale reli ya mwendo kasi itakapoisha na kuanza kutumika tutakuwa ktk faida/hasara?

Daraja la kigongo/busisi likiisha tutakuwa ktk hasara/faida?

Bwawa la nyerere likiisha tutakuwa ktk faida/hasara?

Ni kweli kwamba huwezi kufika juu unapotaka kwa siku ndo maana hata wanasema rumi haikukaa kwa siku moja. Ili ufike mahala ni lazima kuwe na maumivu tena makali na kisha taratibu utakwea juu. Tatizo lenu mnataka vyote vyote at per, yaani mnataka mendeleo lakini pia mnataka msikumbane na maumivu ..never!

So, ni vile mnavyoamu kesho yenu iweje. Mkitaka mawndeleo na kuweza kusimama wenyewe ni sharti mkubali gharama kubwa ya kulipa japo mkichagua na kusaidiwa pia mkubali kuwa chini ya wenzenu make hata ukiamua kuiacha elimu kisa ni ghari unatakiwa ujue pia kuuchagua ujinga nayo gharama yake iko pale pale.

Mwisho ni wabunge uliowataja. Ni ukweli wengi wao walipata mbereko ya hayati JPM na wanajua 2025 wengi wao hawarudi. Ni kwasababu nyingi ila moja ni wapinzani kupewa nafasi ya kufanya siasa baadae itawafanya wawe imara na kurudisha baadhi ya majimbo yao na pili, ni kukwama kwa miradi mingi iliyoachwa na hayati JPM. Baadhi ya miradi itakwama na hili litaharibu taswira ya chama as ukitizama kuanzia sasa kutakuwa na mipasuko mikubwa sana na kutakosekana umoja kama chama.

Hapa kazi tu!
 
Hahahahaaaa! Acha nicheke, aliyepigwa risasi mchana kweupe in tukio LA watu wasiojulikana. Mhusika aliitwa polisi akahojiwe had I sasa hajaenda. Polisi wanamsubiri yeye na dereva wake tu. Lkn pia ni mlopokaji sana ndo maana anaogopa kwenda kufanyiwa mahojiano. Eti ni mwanasheria ambaye amewahi kuwa raid was chama cha wanasheria, mbona sasa anakimbia kesi? Hovyo kabisa.
 
Ndugu Mshumbusi,, hao wanaopinga demokrasia hawana maana yoyote zaidi ya ubinafsi uliowajaa mioyoni mwao.
Wanapinga ili waendelee kula bata na familia zao wakiwa na uhakika hakuna kuwawajibisha.
Wanapinga kwani wanaogopa kuwajibishwa ikiwa mfumo wa demokrasia utaimarika.
Ni waovu sana, wanajua nje ya madaraka wana kesi nyingi za kujibu.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Ukweli NI kuwa dunia haiko fair. Hakuna kinachoweza kufanyika kwa haki. Ila uonevu ukizidi lazma vitu vingi vipungue. Wapo wasiojali kuhusu haki na usawa, Ila wananguvu sababu wanaowapinga wanatumia hasira, visasi na kutambiana. Watakaokuja kulibadili taifa NI wale watakaopigania haki, usawa, malidhiano na umoja wa kitaifa bila kuweka mbele maslahi binafsi.
 
Kinachowatesa ni muda wote kuhidhania hamuwezi hadi msaidiwe. Hebu kama unaweza tupe kidogo hesabu za pale reli ya mwendo kasi itakapoisha na kuanza kutumika tutakuwa ktk faida/hasara?

Daraja la kigongo/busisi likiisha tutakuwa ktk hasara/faida?

Bwawa la nyerere likiisha tutakuwa ktk faida/hasara?

Ni kweli kwamba huwezi kufika juu unapotaka kwa siku ndo maana hata wanasema rumi haikukaa kwa siku moja. Ili ufike mahala ni lazima kuwe na maumivu tena makali na kisha taratibu utakwea juu. Tatizo lenu mnataka vyote vyote at per, yaani mnataka mendeleo lakini pia mnataka msikumbane na maumivu ..never!

So, ni vile mnavyoamu kesho yenu iweje. Mkitaka mawndeleo na kuweza kusimama wenyewe ni sharti mkubali gharama kubwa ya kulipa japo mkichagua na kusaidiwa pia mkubali kuwa chini ya wenzenu make hata ukiamua kuiacha elimu kisa ni ghari unatakiwa ujue pia kuuchagua ujinga nayo gharama yake iko pale pale.

Mwisho ni wabunge uliowataja. Ni ukweli wengi wao walipata mbereko ya hayati JPM na wanajua 2025 wengi wao hawarudi. Ni kwasababu nyingi ila moja ni wapinzani kupewa nafasi ya kufanya siasa baadae itawafanya wawe imara na kurudisha baadhi ya majimbo yao na pili, ni kukwama kwa miradi mingi iliyoachwa na hayati JPM. Baadhi ya miradi itakwama na hili litaharibu taswira ya chama as ukitizama kuanzia sasa kutakuwa na mipasuko mikubwa sana na kutakosekana umoja kama chama.

Hapa kazi tu!
Usizani kila unachofikiri kitakuwa unavyozani. Hesabu za kiuchumi hazipigwi kirahisi hivyo.
Unazani wakati inajengwa reli ya Tazara na bomba la mafuta la tazama wananchi waliaminishwa Nini. Je baada ya Reli kukamilika Nini kilibadilika kwa mtu wa kawaida.
Na Kama reli ya Tazara na Kati zinakuta unazani muujiza gani utainusuru reli mpya sgr. Je madeni makubwa ya ujenzi ya mradi wa reli ya Tazara na tazama yalishalipwa!? Fikiri Mara 2 ndipo uje na hoja usije na hoja za kukalilishwa
 
Nazani migongano na minyukano juu ya Utawala wa Mama ndio kitu kinachoendelea Sasa. Na NI vilevile kila moja anataka kuficha makosa yake. Kuongoza nchi kando kwa kushauri au kushauri anavyojua. Sasa NI Kazi ya washauri kumfanya Raisi asipitie kabisa maoni ya mitandaoni ili asiyumbishwe na watu wengine Ila kufata mawazo yao.
 
Back
Top Bottom