D A E M U S H I N JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 22,665 Reaction score 121,102 Feb 22, 2023 #2 Mti kivuli
spidernyoka JF-Expert Member Joined Jan 2, 2020 Posts 8,915 Reaction score 23,531 Feb 22, 2023 #3 Unahusiana na kifo
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,481 Reaction score 167,331 Feb 22, 2023 #4 spidernyoka said: Unahusiana na kifo Click to expand... Tanzania mnajua kuzusha mambo. Nina anko yangu ameipanda hiyo miti tangu miaka ya 90 mwanzoni na wote na familia wako hai.
spidernyoka said: Unahusiana na kifo Click to expand... Tanzania mnajua kuzusha mambo. Nina anko yangu ameipanda hiyo miti tangu miaka ya 90 mwanzoni na wote na familia wako hai.
Jemima Mrembo JF-Expert Member Joined Jul 19, 2021 Posts 3,029 Reaction score 8,823 Feb 22, 2023 #5 Unasingiziwa mengi mno
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,481 Reaction score 167,331 Feb 22, 2023 #6 Jemima Mrembo said: Unasingiziwa mengi mno Click to expand... Narudia hii ni nchi ya kishirikina hadi kwa wanaojiita watumishi/wachungaji nao wanaamini hiki
Jemima Mrembo said: Unasingiziwa mengi mno Click to expand... Narudia hii ni nchi ya kishirikina hadi kwa wanaojiita watumishi/wachungaji nao wanaamini hiki
Vitalis Msungwite JF-Expert Member Joined May 11, 2014 Posts 3,318 Reaction score 7,985 Feb 22, 2023 #7 Nilisikia mizizi yake ikishaingia ndani ya nyumba mikosi na matatizo itakua sehemu ya maisha Yako. Ili kujua Kama mizizi imeingia ndani unaangalia matawi yake inasemekana yanapoishia matawi na mizizi inakua imefika hapo.
Nilisikia mizizi yake ikishaingia ndani ya nyumba mikosi na matatizo itakua sehemu ya maisha Yako. Ili kujua Kama mizizi imeingia ndani unaangalia matawi yake inasemekana yanapoishia matawi na mizizi inakua imefika hapo.
Lycaon pictus JF-Expert Member Joined Jan 31, 2021 Posts 11,884 Reaction score 21,175 Feb 22, 2023 #8