TECNO Tanzania
Senior Member
- Jul 6, 2016
- 192
- 217
Ikiwa wewe ni mtumiaji mzuri wa simu janja unaweza ukawa una tumia muda wako mwingi kuangalia uwezo mkubwa wa uhifadhi kumbukumbu wa simu, kamera ni megapixels ngapi, saizi ya display, processor na uwezo wa betri wa simu.
Leo tuangalie za ndani ndani juu ya uwezo wa Battery la toleo la POP 7 PRO inayo patikana kwa bei nafuu na ofa kabambe ya 75GB za bure kutoka Airtel. Kwenye upande wa uhifadhi wa chaji hasa kwa wale wanaopenda kucheza magame,kuingia mtandaoni na kuangalia maudhui ya video mbalimbali toleo la POP 7 PRO ndo jibu sahihi.
Toleo la POP 7 lina Battery lab program inaayo muwezesha mteja ku chagua njia tofauti tofauti za kuzuia chaji kuisha kwa haraka na kufurahia matumizi ya simu yake.
Njia hizo umuwezesha mtumiaji wa toleo la POP 7 kuweza kuchagua suluhisho linalofaa la kuokoa chaji/nishati ya simu yake ili kukidhi mahitaji yake ya kutumia simu kwa muda mrefu huku akifurahia ongezeko la 20% la maisha ya betri. Njia hizo ni kama zifuatavyo:
Super power-saving
Hii ni njia bora Zaidi ya kuokoa nishati ya simu yako iwezekanavyo. Baada ya kuwasha simu ni application chache tu muhimu ndizo zitakazo ruhusiwa kufanya kazi kama vile application ya calls (kupiga na kupokea simu), Message (kutuma na kupokea ujumbe) na programu za Kalenda pekee ndizo zitapatikana.
Smart power-saving scenarios
Njia hii itaifanya simu yako ijifunze mazoea ya kila siku ya matumizi ya mtumiaji na kubadili hali ya matumizi ya nishati kidogo ili kuokoa nishati baada ya mtumiaji kulala optimized UI and better interaction manifestation).
Hivyo basi usipate shida kutafuta simu yenye uwezo bora wa battery maana ukitembelea kwenye maduka yetu utakutana na bidhaa zetu za kama vile SPARK 9 PRO, CAMON 19, CAMON 19 PRO, na PHANTOM X2 matoleo yenye sifa kedekede uzitakazo.
Kwa mawasiliano Zaidi unawezA Kutupata kwenye namba zifuatazo; 0744 545 254 au 0678 035 208