Unajua physics ww hebu chek na hii

Unajua physics ww hebu chek na hii

Mansour Mbella

New Member
Joined
May 31, 2013
Posts
4
Reaction score
1
1.Je kwnn kisu kikali kinakata kwa urahis kuliko kisu butu?
2.Kwnn matank ya maji meng yametengenezw kw rang nyeus?
3.Kwnn meli inaelea ktk maji na sarafu(coin) inazama?
Kw leo hayo yanatosha hebu onyesha kias gn ulielew ulivyokuw clas
 
du aise nenda o level physics.kuna mama moja aliniuliza eti aliepandisha bendera mlima klm anaitwa nan?nkamwambia cjui,akaniambia we mtu wa chuo alafu hujui?nkamjibu hayo ni maswali ya primary.usiniulize maswali kama namba za kirum
 
1.Je kwnn kisu kikali kinakata kwa urahis kuliko kisu butu?
2.Kwnn matank ya maji meng yametengenezw kw rang nyeus?
3.Kwnn meli inaelea ktk maji na sarafu(coin) inazama?
Kw leo hayo yanatosha hebu onyesha kias gn ulielew ulivyokuw clas

1.pressure
2.rangi nyeusi ina akisi mwanga.
3.air is lighter
 
mbna maswali ya form one
mtoto wako kakupa home work yake umfanyie
 
1.pressure
2.rangi nyeusi ina akisi mwanga.
3.air is lighter

Umemdanganya..!!"
1. Pressure
2. Rangi nyeusi inasharabu mwanga
3. Density- floatation;
Meli ina hollow space ambayo inaifanya iwe na density ndogo kuliko ya water
 
Umemdanganya..!!"
1. Pressure
2. Rangi nyeusi inasharabu mwanga
3. Density- floatation;
Meli ina hollow space ambayo inaifanya iwe na density ndogo kuliko ya water

and the hollow space is filled with air that has lower density
 
Ngoja niongezee.....
Umemdanganya..!!"
1. Pressure = Force/Area. When Area become less, Pressure increase.

2. Rangi nyeusi inasharabu mwanga = Nina wasiwasi kuwa Materials pia inayotumika ni NYEUSI.

3. Density- floatation; = Archimedes Principal
Meli ina hollow space ambayo inaifanya iwe na density ndogo kuliko ya water
 
Back
Top Bottom