Unajua sababu gani Zanzibar ufaulu Sekondari uko chini sana?

Wazazi na Vijana wa Zanzibar hawapendi Elimu dunia, Elimu kwao siyo kipaumbele, na mwanafunzi akipata ujauzito wana ozeshwa kila zima na hakuna wanao ludi shule kusoma, na wasichana wa uku Zanzibar wao vipaumbele vyao ni kuolewa na siyo kusoma shule
Sawa mkuu
 
Ushauri wa bure: Ukiwa na binti mlee katika maadili ili K yake isiguswe na mwanaume yeyote hadi amalize shule.
 
Mbona population yao siyo kubwa sn?
Haiwez kuoneka kama uku bara, kwasababu wao wana mifumo yao tofauti na Sisi wa bara, wao mwanafunzi wa kiume akimpata mimba mwanafunzi wakike wanafungishwa ndoa tena ndoa ya kidini, tofaute na Tanganyika Bara ukimpa mimba mwanafunzi hukumu yake ni kutumikia kifungo cha miaka 30, kwa wa Zanzibar wao Una ozeshwa bint uliye mpa mimba
 
Basi wapo vizuri
 
Basi wapo vizuri
Ni mbaya zaidi kwa bint na mzigo kwa wazaz maana vijana wa uku hawa pangi Chumba wala nyumba wao wanaishi kwao kwa wazazi ata akifikisha miaka 40
 
Tamaduni za wa Zanzibar mwanafunzi wa kiume akimpa mimba mwanafunzi mwenzake wa kike, familia zina kaa pamoja wana fungishwa ndoa
Halafu huyo wa kiume anaendelea na shule?
 
Halafu huyo wa kiume anaendelea na shule?
Jamii ya ki Zanzibar Elimu dunia kwao siyo kipaumbele Chao mtoto aende shule hasiende wazazi hawa shughuliki nae lakin mtoto hasipoenda Madras ni kosa kubwa na ana chapwa fimbo, kwa kifupi aende shule hasiende hakuna mtu atakaye shughulika nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…