Unajua sababu zinazomvutia kachero mbobevu Benard Camilius Membe kwa Rais Samia Suluhu Hassan?

Mie acha nipite kimya kwanza nitarudi kukomenti baada ya kesi ya Mbowe kufikia hitimisho
 
Teuzi kama teuzi zinatafutwa..........
 
Membe ni Presidential Material, ni hasara MTU kama Membe kuwa nje ya mfumo wa serikali..ushauri wake kwa Rais ktk baraza LA mawaziri ni potential
 
Membe ni Presidential Material, ni hasara MTU kama Membe kuwa nje ya mfumo wa serikali..ushauri wake kwa Rais ktk baraza LA mawaziri ni potential
Swali ni kwamba atakubali?
 
Utawala wa sheria ndo maana Mbowe atapigwa mvua.
 
Nitajikita katika hoja namba moja kwanza
1;Anaposema ni raha ya watanzania kupokea mabadiliko ya uongozi mpya.

Kwani tulipiga kura kumuweka Rais aliyepo au ameingia kikatiba?
Sio kama anatuaminisha kwamba amefurahishwa na kuondoka kwa JPM? Ngoja niweka nukta hapo kwanza
 
Unadhani mabadiliko yakikatiba ndio hayafurahishi watu,

Nikweli kunawatu tuliumia ila wengine walicheka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…