Unajua sababu zinazomvutia kachero mbobevu Benard Camilius Membe kwa Rais Samia Suluhu Hassan?

Swali ni kwamba atakubali?
"Atake asitake,alazimishwe"
"Kama katiba ni kikwazo iletwe hapa bungeni tubadilishe ili aendelee kutawala"..
Hatuwezi kumuacha kiongozi mzuri kama huyu hivi hivi tu.,hawa huwa wanakuja Mara moja kwa karne.."
Ktk sauti ya kessy..!
 
Safi sana Mhe Mbunge, Ila kubadili katiba hapana
 
Andiko zuri sana keep it up
 
"Atake asitake,alazimishwe"
"Kama katiba ni kikwazo iletwe hapa bungeni tubadilishe ili aendelee kutawala"..
Hatuwezi kumuacha kiongozi mzuri kama huyu hivi hivi tu.,hawa huwa wanakuja Mara moja kwa karne.."
Ktk sauti ya kessy..!
Acheni Mungu aitwe Mungu. Sisi binadamu uoni wetu ni hafifu na mawazo yetu ni butu mbele za muumba,kamwe hatujui yakesho
 
Hamna lolote. Anataka tu kurudi CCM.
 
"Atake asitake,alazimishwe"
"Kama katiba ni kikwazo iletwe hapa bungeni tubadilishe ili aendelee kutawala"..
Hatuwezi kumuacha kiongozi mzuri kama huyu hivi hivi tu.,hawa huwa wanakuja Mara moja kwa karne.."
Ktk sauti ya kessy..!
Daah
 
Good Membe
 
safi sana mama Samia,
 
Membe
 
Safi sana hii, Tanzania nakupenda sana,

Hakuna Kama Rais Samia😍😍
 
Niwewe tu mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…