Unajua sababu zinazomvutia kachero mbobevu Benard Camilius Membe kwa Rais Samia Suluhu Hassan?

Tanzania kwa miaka yake yote 60 haijawahi kupata Rais Mwanamke ,

1.Mchapakazi

2. Mchamungu,

3. Mpole

4. Mwadilifu,

5. Mpendahaki,

#HAKIKA HAKUNA KAMA SAMIA
 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
Kwa speed hii ya Rais Samia, Tanzania huenda ikaibua mabilionea wapya 100 miaka miwili ijayo,Tufanye kazi kwa bidii zaidi
 
Team JF,


MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
Happy Boxing Day kwa hisani ya Mhe Samia Suluhu Hassan
 
Biafsi Nina na nitaendelea kumuunga mkono MAMA.
....la MAMA LINA LEA na huo ndio ukweli
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
Labda ni mimi tu kutokutembea kwangu mwaka huu tangia uanze!

Samahani mkuu, waweza kunitajia miradi mipya ya kimkakati aliyoianzisha mweshimiwa Samia?
 
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
Hakika kama mambo yataendelea kuwa hivi Rais Samia Suluhu Hassan atashinda Uchaguzi Huru na Haki wa 2025 kwa zaidi ya 76%
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
Nne, Bunge Live , Swichi ya Bunge live ilikuwa imezimwa nayo akaiwasha, ile ya ya gesi ya Lindi ilizimwa na yeye kaiwasha na sasa kuna mazungumzo na ndiyo utaalamu mzuri.
Aliyezima swichi ndiye karudishwa kuiwasha, natamani kumsikia hadharani akituambia kwanini aliizima!?
 
mhh!!! mama anang'ara, mama anashawishi, mama anaita kama binti wa miaka 30.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…