Unajua sababu zinazomvutia kachero mbobevu Benard Camilius Membe kwa Rais Samia Suluhu Hassan?

" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
 
Mama Samia mbele Kwa mbele.

Asante Mwenyezi Mungu Kwa zawadi ya Mama Samia Kwa watanzania
 
Kinyongo chuki na visasi vilimharibia Sana Jpm
Angekua rais Bora Kama angevishinda hivyo

Kweli mwanzo wake alikuwa INSPIRATIONAL lakini alikuja kuharibika baada ya kufanya ziara ya RWANDA!!! Aliporudi tu ndio akaanza chuki na visasi na watu kuanza kupotea ,na hapo ndio he started going downhill mpaka alipotwaliwa!!!
 
7. Haki za wafanyakazi kupanda madaraja na kulipwa stahiki zao
 
Ni Membe mwenyewe ndio amesisema sababu hizi Sita Zinazomvutia kwa Mama? Wewe ndio Membe?
 
Membe ni Presidential Material, ni hasara MTU kama Membe kuwa nje ya mfumo wa serikali..ushauri wake kwa Rais ktk baraza LA mawaziri ni potential
Ni Mwanaume Mwenzio! Hata wewe Unaweza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…