Unajua zinaa na uzinzi vinabeba baraka zako?

Ntakujuza tu yoyote unaemvulia chupi ama suruali yako kama sio mkeo WA ndoa kitendo cha kuingiza dudu lako kwake nikujuze anaondoka baraka zako

Aijalishi amevaa ajavaa condom ntakujuza NDUGU pambana na roho ya uzinzi

Watu wengi sana walikuwa matajiri wakajifanya wajanja Leo ni masikini wakutupa

Nikujuzee tu usije furahia kumwaga zile maniiniii n kwamba zinaenda na baraka zako...

Wanaume wengi wanateseka Leo hii kupata watoto wanahisiwamelogwa hakuna ni Ile mizigo uliyokuwa ukiifakamia enzihizooooooo...

Amkeni
Amkeni
Amkeni vijana.....sio mda WA kufanya na kupanua mapajaaa YENU nyie madadaa wanaume wengine wanawaingixa Wana Pepo la kutozaaaa kuanzia asili ya ukoo waoo

Weweee ukifurahia kumwagiwaa mananiii na mapepo yao ya ukoo yanafurahia tumepata tasa mwingine

Muwe makini MKIWA kijana jilinden mkiona jilinden zaidii

Maisha n haya haya hayarudi mara mbili......
All d best
Hivi mbona mnarudiarudia kuandika huu upuuzi?

Kwa imani za kishamba kama hizi, mnasababisha iaminike watu weusi bado nyani.

Binadamu kamili hawezi kuwa na imani za kichovu hivi.
 
Ntakujuza tu yoyote unaemvulia chupi ama suruali yako kama sio mkeo WA ndoa kitendo cha kuingiza dudu lako kwake nikujuze anaondoka baraka zako

Aijalishi amevaa ajavaa condom ntakujuza NDUGU pambana na roho ya uzinzi

Watu wengi sana walikuwa matajiri wakajifanya wajanja Leo ni masikini wakutupa

Nikujuzee tu usije furahia kumwaga zile maniiniii n kwamba zinaenda na baraka zako...

Wanaume wengi wanateseka Leo hii kupata watoto wanahisiwamelogwa hakuna ni Ile mizigo uliyokuwa ukiifakamia enzihizooooooo...

Amkeni
Amkeni
Amkeni vijana.....sio mda WA kufanya na kupanua mapajaaa YENU nyie madadaa wanaume wengine wanawaingixa Wana Pepo la kutozaaaa kuanzia asili ya ukoo waoo

Weweee ukifurahia kumwagiwaa mananiii na mapepo yao ya ukoo yanafurahia tumepata tasa mwingine

Muwe makini MKIWA kijana jilinden mkiona jilinden zaidii

Maisha n haya haya hayarudi mara mbili......
All d best
Una hoja ila umeishia kutishia watu hapa.

Umekariri jambo la energy kuhamia kwa mwingine wkt wa ngono. Tulia ulizia wataalam wa positive na negative energy
 
Ntakujuza tu yoyote unaemvulia chupi ama suruali yako kama sio mkeo WA ndoa kitendo cha kuingiza dudu lako kwake nikujuze anaondoka baraka zako

Aijalishi amevaa ajavaa condom ntakujuza NDUGU pambana na roho ya uzinzi

Watu wengi sana walikuwa matajiri wakajifanya wajanja Leo ni masikini wakutupa

Nikujuzee tu usije furahia kumwaga zile maniiniii n kwamba zinaenda na baraka zako...

Wanaume wengi wanateseka Leo hii kupata watoto wanahisiwamelogwa hakuna ni Ile mizigo uliyokuwa ukiifakamia enzihizooooooo...

Amkeni
Amkeni
Amkeni vijana.....sio mda WA kufanya na kupanua mapajaaa YENU nyie madadaa wanaume wengine wanawaingixa Wana Pepo la kutozaaaa kuanzia asili ya ukoo waoo

Weweee ukifurahia kumwagiwaa mananiii na mapepo yao ya ukoo yanafurahia tumepata tasa mwingine

Muwe makini MKIWA kijana jilinden mkiona jilinden zaidii

Maisha n haya haya hayarudi mara mbili......
All d best
Hii ni kweli kwako na wengine wanaokuamini, ila sio kweli kwa kila mmoja.

Wewe ukifanya lazima hayo yakupate
 
Elon Musk ana watoto 14 kwa wanawake tofauti tofauti acha hao ambao hakuzaa nao, na yeye ni tajiri namba 1 duniani mpaka tunavyoongea hapa.

Wewe ambae huzini ni tajiri namba ngapi? 😄
 
Kajamba nani mnapenda kutoa ushauri wa utajiri kwa kwa namna za ajabu sana, kumsikia mtu kama Bill Gates kutoa ushauri wa kiwaki hivi ni ngumu sana.
Yaani muafrika kila kitu lazima aingize ushirikina. Kutiana ni jambo la kimaumbile wanyama wote mpaka wadudu wanatiana kila siku na maisha yanaendelea lakini mtu atakuja anaanza kukuambia eti unapoteza baraka. Haya madudu tuliwekewa ya kazi gani kama hatukutakiwa tuyatumie?
 
Nitakujuza tu yoyote unayemvulia chupi ama suruali yako kama sio mkeo wa ndoa kitendo cha kuingiza dudu lako kwake nikujuze anaondoka baraka zako

Haijalishi amevaa hajavaa condom nitakujuza NDUGU pambana na roho ya uzinzi

Watu wengi sana walikuwa matajiri wakajifanya wajanja Leo ni masikini wakutupa

Nikujuzee tu usije furahia kumwaga zile manii ni kwamba zinaenda na baraka zako...

Wanaume wengi wanateseka leo hii kupata watoto wanahisi wamelogwa hakuna ni Ile mizigo uliyokuwa ukiifakamia enzi hizo...

Amkeni
Amkeni
Amkeni vijana, sio muda wa kufanya na kupanua mapaja YENU nyie madada wanaume wengine wanawaingiza Wana Pepo la kutozaa kuanzia asili ya ukoo wao

Wewe ukifurahia kumwagiwa mananii na mapepo yao ya ukoo yanafurahia tumepata tasa mwingine

Muwe makini MKIWA kijana jilindeni mkiona jilindeni zaidi

Maisha n haya haya hayarudi mara mbili......
All d best
Hii mindset yako tu umeshafeli maisha kabla at ujapanua hilo paja 😛
 
Wanaume wote, ukiwemo wewe kwa mwanamke ni kama mambwa kwa chatu.

Hujipeleka menyewe kumezwa huku yakilialia inhihihihi inhihihihi, kwa kuufyata mkia huku yanakwenda!

Siyo kwamba hayajui kwamba yanachokisogelea ni hatari na ni maangamizi ya maisha, yanakuwa yanaelewa lakini hayana namna!

Bora ya kumezwa kuliko kukosa fursa ya kukisogelea kivutio.

Yote haya yameumbwa na Mwenyezi mwenyewe, sisi ni nani kupingana na asili?

Kusahihisha kanuni za asili ni kusahihisha kanuni za Mwenyezi Mungu mwenyewe Muweza.
 
Nitakujuza tu yoyote unayemvulia chupi ama suruali yako kama sio mkeo wa ndoa kitendo cha kuingiza dudu lako kwake nikujuze anaondoka baraka zako

Haijalishi amevaa hajavaa condom nitakujuza NDUGU pambana na roho ya uzinzi

Watu wengi sana walikuwa matajiri wakajifanya wajanja Leo ni masikini wakutupa

Nikujuzee tu usije furahia kumwaga zile manii ni kwamba zinaenda na baraka zako...

Wanaume wengi wanateseka leo hii kupata watoto wanahisi wamelogwa hakuna ni Ile mizigo uliyokuwa ukiifakamia enzi hizo...

Amkeni
Amkeni
Amkeni vijana, sio muda wa kufanya na kupanua mapaja YENU nyie madada wanaume wengine wanawaingiza Wana Pepo la kutozaa kuanzia asili ya ukoo wao

Wewe ukifurahia kumwagiwa mananii na mapepo yao ya ukoo yanafurahia tumepata tasa mwingine

Muwe makini MKIWA kijana jilindeni mkiona jilindeni zaidi

Maisha n haya haya hayarudi mara mbili......
All d best
SIo unavyosema vyote upo sahihi ingawa hoja ya naiunga mkono kuwa uzinzi sio kitu kizur na kinapoteza baraka
 
Nitakujuza tu yoyote unayemvulia chupi ama suruali yako kama sio mkeo wa ndoa kitendo cha kuingiza dudu lako kwake nikujuze anaondoka baraka zako

Haijalishi amevaa hajavaa condom nitakujuza NDUGU pambana na roho ya uzinzi

Watu wengi sana walikuwa matajiri wakajifanya wajanja Leo ni masikini wakutupa

Nikujuzee tu usije furahia kumwaga zile manii ni kwamba zinaenda na baraka zako...

Wanaume wengi wanateseka leo hii kupata watoto wanahisi wamelogwa hakuna ni Ile mizigo uliyokuwa ukiifakamia enzi hizo...

Amkeni
Amkeni
Amkeni vijana, sio muda wa kufanya na kupanua mapaja YENU nyie madada wanaume wengine wanawaingiza Wana Pepo la kutozaa kuanzia asili ya ukoo wao

Wewe ukifurahia kumwagiwa mananii na mapepo yao ya ukoo yanafurahia tumepata tasa mwingine

Muwe makini MKIWA kijana jilindeni mkiona jilindeni zaidi

Maisha n haya haya hayarudi mara mbili......
All d best
Mbona wanasiasa wanafanya sana kwenye mbio za mwenge huko lakini hatuoni wakipoteza kitu
 
Back
Top Bottom