Unajua zinaa na uzinzi vinabeba baraka zako?

Hivi mbona mnarudiarudia kuandika huu upuuzi?

Kwa imani za kishamba kama hizi, mnasababisha iaminike watu weusi bado nyani.

Binadamu kamili hawezi kuwa na imani za kichovu hivi.
 
Una hoja ila umeishia kutishia watu hapa.

Umekariri jambo la energy kuhamia kwa mwingine wkt wa ngono. Tulia ulizia wataalam wa positive na negative energy
 
Hii ni kweli kwako na wengine wanaokuamini, ila sio kweli kwa kila mmoja.

Wewe ukifanya lazima hayo yakupate
 
Elon Musk ana watoto 14 kwa wanawake tofauti tofauti acha hao ambao hakuzaa nao, na yeye ni tajiri namba 1 duniani mpaka tunavyoongea hapa.

Wewe ambae huzini ni tajiri namba ngapi? 😄
 
Kajamba nani mnapenda kutoa ushauri wa utajiri kwa kwa namna za ajabu sana, kumsikia mtu kama Bill Gates kutoa ushauri wa kiwaki hivi ni ngumu sana.
Yaani muafrika kila kitu lazima aingize ushirikina. Kutiana ni jambo la kimaumbile wanyama wote mpaka wadudu wanatiana kila siku na maisha yanaendelea lakini mtu atakuja anaanza kukuambia eti unapoteza baraka. Haya madudu tuliwekewa ya kazi gani kama hatukutakiwa tuyatumie?
 
Hii mindset yako tu umeshafeli maisha kabla at ujapanua hilo paja 😛
 
Wanaume wote, ukiwemo wewe kwa mwanamke ni kama mambwa kwa chatu.

Hujipeleka menyewe kumezwa huku yakilialia inhihihihi inhihihihi, kwa kuufyata mkia huku yanakwenda!

Siyo kwamba hayajui kwamba yanachokisogelea ni hatari na ni maangamizi ya maisha, yanakuwa yanaelewa lakini hayana namna!

Bora ya kumezwa kuliko kukosa fursa ya kukisogelea kivutio.

Yote haya yameumbwa na Mwenyezi mwenyewe, sisi ni nani kupingana na asili?

Kusahihisha kanuni za asili ni kusahihisha kanuni za Mwenyezi Mungu mwenyewe Muweza.
 
SIo unavyosema vyote upo sahihi ingawa hoja ya naiunga mkono kuwa uzinzi sio kitu kizur na kinapoteza baraka
 
Mbona wanasiasa wanafanya sana kwenye mbio za mwenge huko lakini hatuoni wakipoteza kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…