Unajuaje kuwa una akili au huna?

Unajuaje kuwa una akili au huna?

Kwa mfano watu wanamuamini Zito Kabwe kwamba Serikali na mfumo wake wote unataka kumuua ili hali yuko nchini na Bungeni anakwenda, kwa kawaida angeyasemea hayo akiwa nje ya nchi akiomba hifadhi, sasa wanaomuamini Zito Kabwe hawana akili wasiomuamini wana uwezo wa kuhoji.
 
Kila mtu ana akili. Kushindwa ku-reason kitu sio kipimo cha akili kwa sababu reasoning capacity ya mtu mmoja hutofautiana na mwingine.

Na hata unayemuona kichaa, kuna mambo anafanya kwa ufasaha, japo haelewi kma amepatia. Hata saa mbovu kuna muda inasema ukweli...!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitaka ujue kama una akili au huna ni pale utapoamua kuangalia maisha ya watu wa umri wako hasa mliosoma nao, wamejenga, wameoa, wamenunua magari, wana miradi ila wewe kazi yako kushinda jamiiforums kujisifia idadi ya mademu uliotembea nao na urefu wa m.b.o.o yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mfano watu wanamuamini Zito Kabwe kwamba Serikali na mfumo wake wote unataka kumuua ili hali yuko nchini na Bungeni anakwenda, kwa kawaida angeyasemea hayo akiwa nje ya nchi akiomba hifadhi, sasa wanaomuamini Zito Kabwe hawana akili wasiomuamini wana uwezo wa uhoji.
Ukitaka kujua kama una akili au hauna ... Anza kujiuliza , Je niliunga mkono serikali kupitia jeshi kununua korosho kama jibu ni ndio basi jua wewe ni KICHWA BOGA AKILI ULEZI....yaani wewe ni ndezi,bogus,poyoyo,ndina
 
Na mm ninaye shushia safari ya baridi ilhali najua leo ni j3 ya mapambano ila nipo off kikazi naweza kujua kama iq yangu ipo oky

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna siku maalum ya kunywa pombe. Kama ilivo kua hakuna siku maalum ya kupumzika.

Huo ni utaratibu na ratiba zako za maisha na Wala sio ujinga.
Big up bro. Kula vyombo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona una fikiria polepole ama umewahi kutapeliwa na wale jamaa wa "ile hela tuma huku...."
Kama unacheza tatu mzuka na biko Jua wazi kabisa kichwani kwako kuna mihogo na pilipili.
 
Hakuna siku maalum ya kunywa pombe. Kama ilivo kua hakuna siku maalum ya kupumzika.

Huo ni utaratibu na ratiba zako za maisha na Wala sio ujinga.
Big up bro. Kula vyombo...

Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks bro wengine ratiba zetu hazitabirik ila ndo kama leo nimepata siku ya mapunziko hazitabiriki hivyo unavyopat inabidi utumie kweliii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wee ukiona tuu unaamini amini kwamba biashara ya angani utaiweza wakati ya korosho tuu imekushinda, basi wewe tangulia zako Mirembe mdogo mdogo usisubiri kupelekwa.
 
Kwa mfano watu wanamuamini Zito Kabwe kwamba Serikali na mfumo wake wote unataka kumuua ili hali yuko nchini na Bungeni anakwenda, kwa kawaida angeyasemea hayo akiwa nje ya nchi akiomba hifadhi, sasa wanaomuamini Zito Kabwe hawana akili wasiomuamini wana uwezo wa uhoji.
Wanatafuta asiye na akili kumbe upo hapa.
 
Binafsi nikifaulu mtihani huwa naamini ninaakili. Lakini kuna vitu nafanya na havina mtihani huwa sina uhakika navyo.
 
Back
Top Bottom