Unajuaje kuwa una akili au huna?

Unajuaje kuwa una akili au huna?

Ukitaka ujue kama una akili au huna ni pale utapoamua kuangalia maisha ya watu wa umri wako hasa mliosoma nao, wamejenga, wameoa, wamenunua magari, wana miradi ila wewe kazi yako kushinda jamiiforums kujisifia idadi ya mademu uliotembea nao na urefu wa m.b.o.o yako.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahaha..😀😀😀😀
 
Kwa mfano watu wanamuamini Zito Kabwe kwamba Serikali na mfumo wake wote unataka kumuua ili hali yuko nchini na Bungeni anakwenda, kwa kawaida angeyasemea hayo akiwa nje ya nchi akiomba hifadhi, sasa wanaomuamini Zito Kabwe hawana akili wasiomuamini wana uwezo wa kuhoji.
Wasio na akili zaidi ni wale wenye tabia ya kupinga hata mambo yaliyo dhahiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuoa na Kununua gari sio kipimo cha akili kwa sababu sio wote wenye magari basi wana akili, na sio wote waliooa wana akili pia.

HAYO NI MAAMUZI YA MTU KWA SABABU WAPO WALIO BRIGHT SANA, NA VERY SMART KATIKA MAMBO YAO NA HAWAJAOA....!!!

Ikumbukwe pia kwamba, kuwa na hela ya kumiliki gari SIO AKILI. Unaweza pia ukawa umepewa hyo hela, au ukawa umepewa gari. Yote yanawezekana..!!!

Ukitaka ujue kama una akili au huna ni pale utapoamua kuangalia maisha ya watu wa umri wako hasa mliosoma nao, wamejenga, wameoa, wamenunua magari, wana miradi ila wewe kazi yako kushinda jamiiforums kujisifia idadi ya mademu uliotembea nao na urefu wa m.b.o.o yako.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent from my D5322 using JamiiForums mobile app
 
Hebu tujuzane Unajuaje kama una akili au Huna akili

Sent using Jamii Forums mobile app
Kipimo cha afya yako ya akili ni tunda la roho. Muda wote ukiwa na tunda la roho basi una afya njema.
Wagalatia 5:22-23 Neno: Bibilia Takatifu (SNT)

22 Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumili vu, wema, fadhili, uaminifu, 23 upole, kiasi. Hakuna sheria inayopinga mambo kama haya.
 
Kwa mfano watu wanamuamini Zito Kabwe kwamba Serikali na mfumo wake wote unataka kumuua ili hali yuko nchini na Bungeni anakwenda, kwa kawaida angeyasemea hayo akiwa nje ya nchi akiomba hifadhi, sasa wanaomuamini Zito Kabwe hawana akili wasiomuamini wana uwezo wa kuhoji.
Mleta mada ni ngumu kujitambua kama huna akili ila ni rahisi kumtambua asiye na akili. Mfano huyu jamaa.
 
Akili ni kitu umeumbwa nacho kama uonavyo mkono,mguu au kiungo chochote. Hivyo akili hutofautiana ingawa kila mtu ana akili. Hata yule kichaa ana akili ndio maana anawajua ndugu zake,anajua kwao. Na akili haipimwi kwa kufanya mitihani shuleni,eti alie pass mtihani ndo ana akili aliefeli hana akili.
 
Back
Top Bottom