M Madiber Member Joined Dec 9, 2019 Posts 65 Reaction score 77 Apr 26, 2020 #1 Kumekuwa na tatizo kubwa la nguo feki kuingia katika soko letu la nguo nchini na tujuzane njia mbalimbali za kugundua nguo hizo kwa u rahisi iwe jeans,suruali za vitambaa n.k
Kumekuwa na tatizo kubwa la nguo feki kuingia katika soko letu la nguo nchini na tujuzane njia mbalimbali za kugundua nguo hizo kwa u rahisi iwe jeans,suruali za vitambaa n.k
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,855 Reaction score 189,385 Apr 26, 2020 #2 Huwa ni kazi kidogo kugundua moja kwa moja. Ila mimi huwa natumia washikaji zangu ndio naenda kununua nguo kwenye maduka yao.
Huwa ni kazi kidogo kugundua moja kwa moja. Ila mimi huwa natumia washikaji zangu ndio naenda kununua nguo kwenye maduka yao.
tonylast Member Joined Jun 26, 2019 Posts 70 Reaction score 47 May 24, 2020 #3 Kulingana na hal ya watanzania wengi na africa kw ujumla nguo nying ni from china... Kiufup ukitaka nguo og nenda m.city hutojutiaa kuanzia qualit had bei zake. Sent using Jamii Forums mobile app
Kulingana na hal ya watanzania wengi na africa kw ujumla nguo nying ni from china... Kiufup ukitaka nguo og nenda m.city hutojutiaa kuanzia qualit had bei zake. Sent using Jamii Forums mobile app