Unajuaje ubora wa nguo uliyonunua?

Unajuaje ubora wa nguo uliyonunua?

Madiber

Member
Joined
Dec 9, 2019
Posts
65
Reaction score
77
Kumekuwa na tatizo kubwa la nguo feki kuingia katika soko letu la nguo nchini na tujuzane njia mbalimbali za kugundua nguo hizo kwa u
rahisi iwe jeans,suruali za vitambaa n.k
 
Huwa ni kazi kidogo kugundua moja kwa moja.

Ila mimi huwa natumia washikaji zangu ndio naenda kununua nguo kwenye maduka yao.
 
Kulingana na hal ya watanzania wengi na africa kw ujumla nguo nying ni from china...

Kiufup ukitaka nguo og nenda m.city hutojutiaa kuanzia qualit had bei zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom