Unajuwa kuwa P-Funk Majani ana mtoto mkubwa kabisa wa kike tofauti na aliyezaa na Kajala?

Unajuwa kuwa P-Funk Majani ana mtoto mkubwa kabisa wa kike tofauti na aliyezaa na Kajala?

hivi hawa watoto wanajisikiaje wakiwa wanasoma tabia chafu za mama zao kwenye magazeti pendwa? coz sidhani kama class mates wao wanaweza ku hesitate making fun of them.
Hao wala usisumbue akili yako :siku yao huanza hivi
Mtoto: mama leo vipi mbona sikuoni katika media
mama: nawe! ndio kwanza asubuhi we subiri tu ,kuna timbwili nimelifanya jana ,mchana haukatizi utalisikia tu kipenzi changu!
Mtoto; Mi nakujua maza we sterling!
Hayo ndio mazungumzo yao!
 
hahahaaaaa... so nao wanajua michezo ya mama zao na wamezoea kabisaaaa..
haya.
 
binti huyo mkubwa wa majani anaitwa Patricia Peter Matthysse.....ni karembo sana.
 
Weka picha

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
binti huyo mkubwa wa majani anaitwa Patricia Peter Matthysse.....ni karembo sana.

Kumbe Patricia ndo huyu kweli kawa mdada nilikuwa namsikiaga Majani akiwataja binti zake enzi zile Patricia na Paula wa kajala.
 
Kumbe Patricia ndo huyu kweli kawa mdada nilikuwa namsikiaga Majani akiwataja binti zake enzi zile Patricia na Paula wa kajala.

ndo mwenyewe, watoto zake warembo sana. Kuna wakiume pia anaitwa Peter.
 
hivi hawa watoto wanajisikiaje wakiwa wanasoma tabia chafu za mama zao kwenye magazeti pendwa? coz sidhani kama class mates wao wanaweza ku hesitate making fun of them.

Iko hivi, si kila skendo inakua ni ya ukweli so kama ni ya uongo watoto au hata ndugu wanakua wanajua ukweli so haisumbui sana but kama skendo ni ya kweli afu unakuta ni mbaya na ya aibu basi haina jinsi wakubaliene na hali, hiyo ndo price of fame.

Inauma sana ukiwa na ndugu star afu yakatokea ya kukutokea haina jinsi bali kukubali hali halisi, mbaya zaidi mtu ukishakua cellebrity kila ufanyalo ni wazi kabisaaaa.
 
“How time fly’s, My baby girl has become a woman,” ameandika P-Funk Majani aka ‘Dream Big’ kwenye picha ya mwanae mkubwa wa kike (jina lake halijapatikana mara moja) aliyoiweka kwenye mtandao wa Instagram. Mhh! Nani alitegemea kama producer huyo wa Bongo Records angekuwa na mtoto mkubwa hivi?
[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]
Mtoto wa kike wa P-Funk Majani[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
P-Funk ana mtoto mwingine mkubwa wa kike aliyezaa na Kajala aitwaye, Paulette.
[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Paulette akiwa na mama yake Kajala[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Usishangae P kusikia amekuwa babu soon!!
Kwahiyo jamaa kumbe kiwanda chake kinatoa jinsia pinzani tuu! Kweli mtenda hutendwa
 
Kwahiyo jamaa kumbe kiwanda chake kinatoa jinsia pinzani tuu! Kweli mtenda hutendwa
Mkuu acha majanga, ametenda nini mbaya wakati wenyewe ndio wanamkimbilia? Angedengua wangemletea maneno ya shombo anayo ambiwa Ommy Dimpoz, acha awapatie watoto tu kwani hiyo ni zawadi kubwa kuliko zote duniani.
 
Back
Top Bottom