Mtu mpaka anazeeka anawatoto 7 wamepanga
a
Watoto wanakuja kuwa vibaka kisa kukosa mwelekeo
Mm napendekeza serikali iweke lazima ya kila MTU mzima ajenge nyumba Tofali afyatue mwenyewe akishindwa hatua Kali zichukuliwe[emoji16]Habari wakuu
Mimi binafsi linanikela sana hili swala ,mwanaume unazaa watoto zaidi ya watano ,nyumba huna,biashara huna,kazi huna ,kilimo cha mkono huku ukijipa moyo huenda mtoto atakuwa jakaya,au Mandela ,au Obama,ujinga mtupu
Kuwalisha tuu ni shida achana na mavazi ,huduma za mhimu tu ni tabu ,shulen kuwapeleka ni mpaka serikal iingilie kati.
Aisee kama huna uwezo wa kulea ,ni bora tu ukaishi kisela hapa duniani ,sio lazima kuzaa ,ishi kivyako kufa kivyako kuliko kuzalisha watoto ili uwatese na kuiona dunia chungu
Kama wewe ulipata tabu hapa dunian hakuna ulazima wa kuleta viumbe hapa dunian kuwatesa
Mh raisi angalia hili swala ,kama MTU hayupo vizur kiuchumu ni marufuku kuoa ,hana sifa za kuwa na familia,akileta za kuleta weka ndani ni ujinga Mtupu kuendelea kuzalisha watoto ambao wanajuta kuzaliwa hapa dunian .
Uzi tayari
Utakuwa una watoto kumi na mbili wewe, halafu kila mmoja na mamaake[emoji28][emoji28] si kwa [emoji481][emoji481][emoji481][emoji482][emoji482][emoji482][emoji481]hiliFicha huu ujinga utakusaidia mbeleni huko!
Chukulia huyo mzee ana miaka themini alioa na kuzaa akiwa na miaka 30 kwa hiyo sasa akiwa na miaka 80 mwanawe atakuwa na miaka 50 .Kwa hiyo huyo mzee amwachie mali mwanae wa miaka 50? hilo si ni jitu zima hilo ? mleta mada akili huna
Kama nimesomesha niwaachie nyumba ili iweje, wakatafute wenyewe nikiwatafutia mimi wao maishani mwao watafanya nini? Kuwaachia nitawaachia lakini siyo lazima.Habari wakuu
Mimi binafsi linanikela sana hili swala ,mwanaume unazaa watoto zaidi ya watano ,nyumba huna,biashara huna,kazi huna ,kilimo cha mkono huku ukijipa moyo huenda mtoto atakuwa jakaya,au Mandela ,au Obama,ujinga mtupu
Kuwalisha tuu ni shida achana na mavazi ,huduma za mhimu tu ni tabu ,shulen kuwapeleka ni mpaka serikal iingilie kati.
Aisee kama huna uwezo wa kulea ,ni bora tu ukaishi kisela hapa duniani ,sio lazima kuzaa ,ishi kivyako kufa kivyako kuliko kuzalisha watoto ili uwatese na kuiona dunia chungu
Kama wewe ulipata tabu hapa dunian hakuna ulazima wa kuleta viumbe hapa dunian kuwatesa
Mh raisi angalia hili swala ,kama MTU hayupo vizur kiuchumu ni marufuku kuoa ,hana sifa za kuwa na familia,akileta za kuleta weka ndani ni ujinga Mtupu kuendelea kuzalisha watoto ambao wanajuta kuzaliwa hapa dunian .
Uzi tayari
Mtu mpaka anazeeka anawatoto 7 wamepanga
Watoto wanakuja kuwa vibaka kisa kukosa mwelekeo
Utakuwa una watoto kumi na mbili wewe, halafu kila mmoja na mamaake[emoji28][emoji28] si kwa [emoji481][emoji481][emoji481][emoji482][emoji482][emoji482][emoji481]hili
Ha ha ha...sasa je unaogopa kuwa mfugaji badala ya mzazi[emoji23][emoji23][emoji28][emoji3][emoji3][emoji3] mi ninao watatu na bado nimepanga, ila kwetu mi ndo mzembe nachekwa... eti najifanya msomi naogopa kuzaa!
Watoto ni hazina mkuu🤣Mkuu naunga mkono hoja kwa nguvu zote ,ni upumbavu wa kiwango cha bombardier mtu anazaa watt kibao wakat anahali mbaya kiuchumi