Unakabiliana vipi na changamoto ya umeme kwenye biashara yako?

legend Babushka

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2015
Posts
595
Reaction score
1,308
Wanajukwaa!

Ningependa tujadili ni namna gani iliyo bora na gharama nafuu ambayo inaweza kukabiliana na ukosefu wa umeme kwenye biashara.

Kama tunavyoshuhudia ni kuwa kuna kupoteza wateja na kutofikia malengo husika.

Karibuni!!
 
Badilisha biashara,mimi napenda kufanya biashara isiyokuwa na changamoto zisizoepukika,sipendi.kufanya biashara ya msimu,biashara ya kusubiri wateja,mimi sio.mvumilivu kabisa,biashara nyingi nimezivunja kwa mfano,nilikuwa na library 4 zote nimeziua nikauza vitu vyote vya ofisini,ela niliyopata nimefungua saloon classic kubwa ina viti vya kunyoa 7,pamoja na massage,pia nikanunua jenereta kubwa,kwaiyo kipindi umeme unakatika mimi napiga vichwa tu sihofii umeme tena
 
Mbona hiyo nayo ni ya kusubiri wateja?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom