legend Babushka
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 595
- 1,308
Mbona hiyo nayo ni ya kusubiri wateja?Badilisha biashara,mimi napenda kufanya biashara isiyokuwa na changamoto zisizoepukika,sipendi.kufanya biashara ya msimu,biashara ya kusubiri wateja,mimi sio.mvumilivu kabisa,biashara nyingi nimezivunja kwa mfano,nilikuwa na library 4 zote nimeziua nikauza vitu vyote vya ofisini,ela niliyopata nimefungua saloon classic kubwa ina viti vya kunyoa 7,pamoja na massage,pia nikanunua jenereta kubwa,kwaiyo kipindi umeme unakatika mimi napiga vichwa tu sihofii umeme tena
Hii biashara ni more advanced, wateja wanakutafuta mwenyewe kama utakuwa na vinyozi wanzuri