Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kunywa maji mengu, kaa open space zenye miti, washa a.c au feni. Hakikisha unaoga hata 3 times ukiwezaHabarini wakuu
Natumai kwema.
Dah! Joto limezidi ni hatari.
Inafikia mpaka unahisi ya harufu ya nyama choma kumbe ni wewe unachomwa jua!
Unakabiliana vipi kuhimili msimu huu wa joto.
Exception: Kwa wale mliopo sehemu zenye baridi na mvua.
Hapa Dodoma ukikutana na mtu unaweza fikiri anatabasamu kukuona, Kumbe jua limemuwakia!Tunakaa kwenye vivuli vya midodomya.Habarini wakuu
Natumai kwema.
Dah! Joto limezidi ni hatari.
Inafikia mpaka unahisi ya harufu ya nyama choma kumbe ni wewe unachomwa jua!
Unakabiliana vipi kuhimili msimu huu wa joto.
Exception: Kwa wale mliopo sehemu zenye baridi na mvua.
Mdodomya ni mti? Naomba picha yake. Niliko kuna mtaa unaitwa Mkuyuni kutokana na mti wa mkuyu.Hapa Dodoma ukikutana na mtu unaweza fikiri anatabasamu kukuona, Kumbe jua limemuwakia!Tunakaa kwenye vivuli vya midodomya.
Ndivyo miti maji mkuu!Mdodomya ni mti? Naomba picha yake. Niliko kuna mtaa unaitwa Mkuyuni kutokana na mti wa mkuyu.
haha noma hio, mchumia juani.Hilo joto ni fursa unaweza kulitumia kufungua biashara ya nyama choma
View attachment 3246372