Kwanza tumshukuru mama kwa kutuwezesha kupata joto kali hivi.
Kukaa sehemu yenye upepo, wapi na saa ngapi?
- Shughuli za kubeba mizigo, zege, wiring, winga, jikoni etc
- Nyumbani feni ipo, AC ipo, UMEME hamna; nafanyaje?
Nipende kumaliza kwa kumshukuru mama, mitano tena!